Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

Namtafuta dada mmoja anaitwa Lily Samson O-level alisoma Eckerneforde Girls na kuhitimu mwaka 2011..Mara ya mwisho nilikutana naye kwenye basi la Nyagawa akitokea Iringa kwenda Dar Es Salaam baadaye kuunganisha kwendaTanga ilikuwa 2011.Kama yupo humu au kuna anayemjua tafadhali ani-pm.
 
Kama ndo huyu Mwachie kasha olewa
Screenshot_2022-05-11-20-02-40-987_com.facebook.katana.jpg
 
HILDA KAMILE,tulikutana pale kawempe high school kampala ukasema unatokea dar nilihama na laini yangu ya mango iliokua na namba yako niliipotezea pale Akamba bus stand,ulinisaidia sana nicheki Dm,Pia Neema Emanuel ulieshiriki Maisha plus flan miaka siikumbuki ila tulisoma wote pale Old shy pia unahusika.
Pia Mwanangu Charles Majigwa wa shy town ,Erick Misaka, na pia Geofrey Mwambopa last time tumeongea ukiwa unahenya 844,nikiwa 821,kwa mzee Sheshe.
Mhindi Masanja toka pale Azimio primary pia , Mwanangu Daudi Mange nasikia uko kipande cha Mwanza ila nimekusaka mno sikupati
 
Namtafuta mwanadada mmoja alikuwa akisoma Mwanza Secondari kidato cha nne 2017 mchepuo wa biashara! Shombe shombe hivi, mpole, mwenye aibu na utoto mwingi mwingi! Anaitwa Janeth! Kama kuna rafiki yake atakayekutana na mtafuto huu amjulishe tafadhari!

Ujumbe:
Kwanini alipotea pasi na kuniachia mbususu niichakate wakati tayari ana nakupenda yangu?
nlimfundisha
 
Back
Top Bottom