Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 25,187
- 27,313
Mbona huo nao uongo🤔Karibu useme ukweli wowote usiosemwa au mwambie mtu yoyote ukwel kumhusu
Naanza Mimi
Tanzania upinzania Bado hawajajipanga kupokea nchi, wakubwa wengi machawa wa chama tawala. Tuendelee kuiamin CCM Coz hatuna alternative.
