Uzi wa kupeana connection za pamba kali

Uzi wa kupeana connection za pamba kali

Ukitaka pamba kali lazima utobokee, nenda mikocheni kule kuna woolwooth.
Hatarii tupu.
 
Ukitaka pamba kali lazima utobokee, nenda mikocheni kule kuna woolwooth.
Hatarii tupu.
Toeni connection zote, wa jf tunajijua, tuko maisha ya hapo katikati, sio mtupele huko kwenye cadeti laki 2, 50k-60k hapo fair na iwe quality inashawishi
 
Kuna jeans nimekuta anazo Mr Cardet kwa Elfu 35 anasema hazipauki

IMG_0167.jpeg
 
Back
Top Bottom