Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Humu tunatesana sana kujua jinsia za watu unaweza kutana na ID ukajua ni Mwanamke kumbe ni mwanaume,
Unaweza kuzama PM kwa mtu kwa kujua unaenda kuvuta mtoto mkali kumbe unakutana na dume mwenzako ,
Sasa uzi huu ni maalumu kwa kujitambulisha Jinsia tu ,
Unachotakiwa kufanya ni kureply Me kama wewe ni mwanaume, na Ke kama wewe ni mwanamke .
Cc Zero IQ