Uzi wa kuchapia

Uzi wa kuchapia

Nilikuwa zangu ndani ya tax nimetundika mijuu guu nakula chipsi kaki na mishikavu...ile tunakata limbwa tu tukaona likona lina manyoya hatari...dereva alijitahidi kulikwepa lkn alishindwa... tukapata ajali meno yote thelasini na nje mbili.
 
ile nakata mbwa, kona huyo= ile nakata kona, mbwa huyo

naomba chipsi kaki na mshikavu= naomba chipsi kavu na mshikaki

dada'girl= head'girl
 
Back
Top Bottom