Uzi wa kuchapia

Uzi wa kuchapia

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,563
Panda nyuma usogee juu = panda juu usogee nyuma.(Konda)

Mapigo ya mbio yanakwenda moyo = mapigo ya moyo yanakwenda mbio.

Mbona unaumwa umekonda nini = mbona umekonda unaumwa nini?

Nanyi pia ongezeeni hapo.
 
Sijui ni wala nini hapa, nifundisheni cha ku post, nina hamu ya ku post hapa!!
 
Nguruwe kwa mkuki binaadam kwa uchungu
 
nimekunywa chai na kibolo cha ubwabwa.. "kibolo=kipolo"
 
Back
Top Bottom