Mwaka huu ni mwaka wa kufanya na siyo kujaribu,mwaka wa kusikiliza sauti ndani ya nafsi yako kwa chochote unachotaka kukifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Majini kama maimuna na makata yatakuwa na nguvu kubwa mno mwaka huu kwa sababu yanayo sapoti ya namba 4 ambayo ni herufi ya moto.
Naziona nguvu kali zaidi za giza zikitumika ambazo zinafikia MEGA-WITCH 7500,tofauti na zile zilizokuwa zikitumika kuua albino ambazo zilikuwa ni Maga-witch 4250 tu.
Tusali sana TUWASHINDE.infact uwe mwaka wa maombi zaidi.