Uzi wa January 2020 : Dondosha ujumbe wako hapa.. Ukawe funzo, baraka na tumaini kwa wengine

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,704
Kama vile zilivyo nguvu mbili zipinganazo. Nyingine kutoka nje na, nyingine kutoka ndani. Katika yai nguvu itokayo nje husababisha kifo naitokayo ndani husababisha uhai wa kuku pindi yai lipasukavyo. Katika maisha ni vivyo. Jali sana kile unacho waza kutoka ndani kuliko usikiayo kutoka nje. Kama hukufanikisha malengo yako mwaka uliopita usijali hiyo iwe chachu ya kuanza mwaka huu kwa kasi zaidi. Magumu yawe daraja kukupeleka katika mafanikio zaid. Nakutakia heri ya MWAKA MPYA. Wenye mafanikio zaidi.
New-Year-2020-Inspirational-Quotes-2.jpeg

Jr
 
Numerology for 2020 is a year 4 (2 + 2 = 4). It is a year of spirituality, where we must go back to cultivating an inner life, a connection with the macrocosms and spiritual heritages we pose. That’s what the number 4 marks.

Also, as we are told in number 2, you are one year to care for your partner, to defend your love, and to be faithful to the last achievements. This is not a period for casual relationships and disposable novels. Check what Numerology for 2020 holds for you in love, work and health.
Mwaka wakutokuwa na mihemuko ni kufanya mambo kwa fikra

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Majini kama maimuna na makata yatakuwa na nguvu kubwa mno mwaka huu kwa sababu yanayo sapoti ya namba 4 ambayo ni herufi ya moto.
Naziona nguvu kali zaidi za giza zikitumika ambazo zinafikia MEGA-WITCH 7500,tofauti na zile zilizokuwa zikitumika kuua albino ambazo zilikuwa ni Maga-witch 4250 tu.
Tusali sana TUWASHINDE.infact uwe mwaka wa maombi zaidi.
 
Tumekumbukwa 2020

MTGCS2020LOGO_L.jpeg
11239434-3x2-700x467.jpeg

Jr
 
Back
Top Bottom