Uzi wa hotuba ya Tundu Lissu leo

Uzi wa hotuba ya Tundu Lissu leo

Status
Not open for further replies.
Utasikia tutashitakiwa MIGA , mashoga waachwe waendelee na ushoga wapo huru kikatiba!.
Mbona haupingi bashite kuwa Shiva mpaka abashindwa kuzalisha badala yake amepata mtoto kwa test tube Lumumba mapoyoyo kweli.
 
Kuna mijitu yenye uelewa wa chin inaponda sana hotuba kupitia facebook, hv nyie mnaoponda mmejiuliza mara mbilimbili kwa nn hii hotuba inarushwa kupitia fb au mmeamua kuponda tu? hv kwa hali jins ilivyo bongo hapa kuna media gan inayoweza kurusha hotuba hii? ukirusha maana yake ukubali tv station yako kufungiwa na hata hao TCRA wakubali kufukuzwa kazi. we mikutano ya kawaida tu mh kapiga marufuku ndio ije kuwa mtu anaongea na dunia? tusiwe tunakurupuka tu jaman fanyien kazi kwanza mawazo yenu ndio myaandike hapa mm binafs nina hakika chombo chochote kitakavhorusha hotuba ya tundulisu hapa bongo itakuwa ndio mwanza na mwisho wa kurusha matangazo, na hata hao TCRA hawawezi kuacha hotuba ya tundulisu irushwe na station zozote zile hata za kimbele sababu wao ndio wana control mawasiliano yoooote
 
Jamani Embu acheni kujidhalilisha. Yaaani CCM mnaacha kujadili mambo yenu mnamjadili Lissu tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa thread hizi mnazozimimina dhidi ya Lissu ni ushahidi tosha kuwa mmepagawa na mpo kwenye panic mode dhidi ya upepo wa Lissu.

Naona leo kuanzia vijana wa Gwajima, wapwa tuinuane, vijana wa pole pole hadi vijana wa Msiba ni mwendo wa kuanzisha thread tu dhidi ya Lissu[emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli Lissu kawashika pabaya. Achaneni nae tu, kama ni Mpango wa Mungu yeye kuwa Raisi atakuwa tu kama sio hawezi kuwa.
Hofu yao ni kuona mtu waliyetaka kumuua wakashindwa kisha naye akikabidhiwa bunduki. Wasicho elewa Lissu sio mtu wa visasi hata kidogo.
Ni muumini wa sheria na anaziheshimu, hivyo wakosaji watakabiliana na mkono wa sheria sio kisasi chake ndio maana huwezi mkuta hata siku moja anaonyesha chuki
 
Taifa lina kiu kubwa ya matuimani na njia mbadala karibu Lissu na wengine kuendeleza umoja na ustawi wa taifa letu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwamba bibi yangu kule kijijini na yeye atafungua facebook kumsikiliza Lisu?

Vituko hivi
 
Hofu yao ni kuona mtu waliyetaka kumuua wakashindwa kisha naye akikabidhiwa bunduki. Wasicho elewa Lissu sio mtu wa visasi hata kidogo.
Ni muumini wa sheria na anaziheshimu, hivyo wakosaji watakabiliana na mkono wa sheria sio kisasi chake ndio maana huwezi mkuta hata siku moja anaonyesha chuki
ndio hofu kuu waliyonayo, siku zote malipo yapo hapa hapa dunian .....amini ukiua kwa upanga na ww utakufa kwa upanga na waswahili wanasema kuugua sio kufa kapona mtu aliyemiminiwa risas za kutosha wamekuja kufa watu kwa matatizo ya kushindwa kupumua
 
Leo tundulisu kasema anaongea na taifa la Tanzania kupitia Facebook
Naweza kusema chadema wanaendelea kujizika wenyewe na kupoteza ushawish hata kwa mabeberu walio ahid kuwasaidia

Unatangaza kulihutubia Taifa letu kubwa lenye watu Zaid ya m50 kwa kupitia Facebook ambayo moja kwa moja itaonyesha ni wangap wanao kufatilia vip wasikilizaji wasipo fika hata Mia 5 utaendelea kuwaambia mabeberu wakuamin Kwan unakubalika Tanzania au itakua aibu na fedheha

Huwez kusema unaliutubia Taifa Facebook kweli chadema unajua hua mnafanya vitu Mpaka nahisi CCM huenda imewaroga Mana hamfikirii nje ya box zito na uongo wake wote hawezi fanya huu ujinga

Mfano wakikufatilia watanzania Mia 3 ao ndio litakua Taifa ulilo liutubia?

Mimi ningewashaur ratiba ya leo muache ni Bora hata angekua Tanzania akahutubia kwenye chombo Cha habari kikubwa Ila Sio nje ya nchi Tena Facebook alafu unasema unaliutubia Taifa

Au Kama mnaweza ni Bora akaandika hotuba yake alafu mmoja wao Kat yao akapewa aisomee kwa niaba yake. Io italeta Mana kidogo Ila kuja kuanza kusema unahutubia Taifa Facebook ni ujinga


Pia sitaki kumhoji analiutubia Taifa Kama Nan Ila ningependa nimkumbushe anao waomba Urais ni watanzania Sio wazungu so atuheshim asiombe uongoz Kama uvhumba kwa kuweza kumtumia mtu bila yeye kuwepo Kama kweli Ana Nia aje nyumbani kupambana Sio mwili upo kwingine akili ipo kwingine
TUKO PAMOJA NA LISU
 
Hahahah kwaio hata nchi atakua anaiongoza Facebook Mana mnasema mwaka huu mnaichukua nchi alafu naiogopa Tena io nchi au mmepanga kua Marais vivul?
mtaelewa tu baadae kama nchi ataiongoza kwa facebook, tsup au instagram, kikubwa sisi wadau tumskie anaiambia nn dunia
 
Taifa gani? Kwa taarifa yako vyombo vyote vya habari nchini vimeshapigwa pini. Hakuna kuongekea habari yoyote ya lisu. Utamsikia tu BBC swahili.
 
Redio ni biashara za watu sio bure. Hivyo kama wataka hivyo kagharamie sio kushauri tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom