KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,750
- 86,386
Kama unadondoo yako juu yachochote weka hapa, iwe wazo ama msemo uliobuni weka hapa!, sharti iwe dondoo fupi tu!.
Naanza namna hii!.
Soma kuhusu saikolojia ya binadamu, ukiielewa utapunguza migogoro isiyonafaida na utaokoa muda na ikibidi kabisa utatengeneza pesa!.
Naanza namna hii!.
Soma kuhusu saikolojia ya binadamu, ukiielewa utapunguza migogoro isiyonafaida na utaokoa muda na ikibidi kabisa utatengeneza pesa!.