Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

Udereva ni moja ya sehemu zenye malipo ya chini ukilinganisha na kada zingine.

Wastani wa mishahara yao (take home) ni around 380,000/- to 450,000/-
Na hakuna malipo ya ziada mfano overtime nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
hii sasa ishakuwa shida, kuna washkaji zangu wamepitia jkt nimewaabia waombe huko security guard hawa si watakua wanalipwa 200k sasa?
 
Labda nikueleze taarifa muhimu zaidi.

Idadi ya nafasi zilizotangazwa hazina uhalisia.
Zimetangazwa nafasi nyingi sana lakini watakaoajiriwa hawafiki hata robo ya nafasi zote.

Sababu ni kwamba, idadi walizotangazwa zote tayari kuna watu wanafanya kazi hizo.
Inawezekana hujanielewa.

Ni hivi kwasasa positions zote walizotangazwa hazipo wazi. Wapo watu waliojariwa tangu zamani wanafanya katika hizo nafasi. Na shirika limewahakikishia wanaofanya kazi kuwa wote watachukuliwa kama walivyo ila walitakiwa kufanya aplication lakini aplication zao waliziwasilisha katika makambi wanayofanya(tofauti na raia wengine ambao wametuma kwa njia ya posta nk)

Nadhani unepata picha ya kinachoebdelea.

Ahaaa hapa sasa nimekuelewa chief, sasa kwa nini wamefanya vijana wameharibu pesa zao kwa mawakili kuverify vyeti wakati wanajua kabisa watu washaajiri.... hii bongo bhana.
 
Nafasi zimetangazwa kama formality tu.
Ukweli ni kwamba kwa sasa shirika halina mfadhili hivyo haliwezi kulipa hata mishahara ya wafanyakazi wake.
Kuna mambo mengi sana machafu yaliyosababisha mpaka leo wasiwe na mfadhili(hii ni topic nyingine)

Kumbuka shughuli wanazofanya source ya pesa ni kutoka kwa wafadhili.

Elewa tu wametangaza nafasi just 'kujikosha' ili wapate wafadhili mnawaita 'donors' ili shirika lionekane linajisafisha kwa kuanza upya.

Natumai maelezo niliyotoa yamesaidia kwa kiasi fulani.

mkuu ahsante sana,... Kabla hatujaachana nikuulize tena unawafahamu shirika la RELIEF TO DEVELOPMENT SOCIETIES ( REDESO)?
 
REDESO ni tofauti na redcross.
Ni mashirika mawili tofauti kabisa ingawa na wao wanafanya kazi katika kambi za wakimbizi.
Redcross wapo kwenye sekta ya afya wakati REDESO wapo kwenye kitengo kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafasi zimetangazwa kama formality tu.
Ukweli ni kwamba kwa sasa shirika halina mfadhili hivyo haliwezi kulipa hata mishahara ya wafanyakazi wake.
Kuna mambo mengi sana machafu yaliyosababisha mpaka leo wasiwe na mfadhili(hii ni topic nyingine)

Kumbuka shughuli wanazofanya source ya pesa ni kutoka kwa wafadhili.

Elewa tu wametangaza nafasi just 'kujikosha' ili wapate wafadhili mnawaita 'donors' ili shirika lionekane linajisafisha kwa kuanza upya.

Natumai maelezo niliyotoa yamesaidia kwa kiasi fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza elezea kwann ilipelekea wakose mfadhili?
 
Sababu kubwa ni ufisadi.

Donor anapokufadhili katika mradi fulani, mwisho wa siku anahitaji kuona ripoti ikiwa inaendana na matumizi ya pesa.

Kwa redcross ilikuwa ni tofauti.
Mara kwa mara donors wakifanya ukaguzi wanakuta upotevu wa mamilioni ya pesa.
Ilifikia kipindi pesa yeyote inayopita katika mikono ya redcross lazima ipigwe.

Donors wakaanza kujiondoa mmoja mmoja.
Mwisho wa siku donor aliyebaki ni UNHCR, MTI, UNICEF na WFP.

UNHCR alikuwa anafadhili asilimia kubwa ukilinganisha na hao donors wengine ambao walikuwa wanasapoti baadhi ya maeneo madogo madogo.

Sasa kuanzia mwaka huu 2020, UNHCR wamejiondoa katika ufadhili na wakaiondoa redcross katika kuendesha miradi ya afya makambini wakalikabidhi shirika linaitwa MTI ambao wanajitegemea kwa maana hawahitaji fund kutoka UNHCR.

MTI wakaajiri kwa ajiri yakuanza kazi Junuary 2020.

Kabla MTI haijaanza kazi, Serikali ikaingilia kati ikasema redcross lazima irudishwe. Ikarudishwa.
Lakini wamerudishwa bila ya fund maana UNHCR hawapo tayari kutoa pesa kwa shirika lililofanya ubadhilifu. Na serikali iliyoirudisha hawajawapa fund.

Mpaka sasa Red cross wanaendelea na mradi lakini hawana pesa ya kuendeshea mradi. Hawana pesa ya kulipa hata mshahara wa mfanyakazi mmoja tu aliyepo achilia mbali kuendesha zoezi ya recruitment ya hizo nafasizilizotangazwa na kulipa mishahara ya wafanyakazi 'wapya' watakaoajiri.

Kujibu swali lako sababu ni ufisadi ndio unaikosesha ufadhili redcross.

duuuh tatzo shirika ukimkabidhi mbongo ndio matatzo yake haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom