Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

Kwa kazi ya copy na kuscan chukua l850 ama l382. Hizi za kisasa sio kabisa
Vipi na kuprint ina print? Maana naimani kazi nitakayo kuwa nafanya watu wa huku kijijini ni kupiga picha sana japo nataka niwe nachukua na kazi za kutoa copy mkuu ila sana sana ni kuprint picha.
 
Ndiyo. L382 na L850 ni all in one
 
Asante mkuu, vp L382 inatoa picha nzuri maana nisije kurupuka ikala kwangu wateja wakakimbia? Vp na upatikanaji wa wino wake ni ghali sana au nikama wa L805?
Uzuri wa epson ni kua wino wake ni bei nafuu na unapatikana kwa urahisi. L382 ni nzuri na inatoa picha za kawaida. Wateja hawatakukimbia.
 
Mkuu hapa umenitisha tena
Screenshot_20220116-100813.jpg
 
Mkuu hapa umenitisha tenaView attachment 2083204
Plain paper (ream) huwa na kama vumbi hv, hii ikitumika muda mrefu inaua head (epson zote) na roller zinabadilishika na ni bei rahisi. Uzuri wa hii mashine ni kutumia wino vzr. Vile vichupa vinne vinaweza kutoa hadi nakala 8000+ (coloured) na nakala 13000+ (black).

Unaweza kuitumia miaka zaidi ya miwili ukiongeza wino tu bila kubadili vitu nilivyoainisha hapo juu.
 
Mkuu nimeulizia kwa mwanza hiyo L382 wameniambia haipo maana mimi nipo shinyanga, ila Walionayo ni Epson L3110 wakidai inaendana na L382 vipi unaonaje nikichukua hiyo L3110?
 
Sikushauri mkuu. Bora uagize dar mojakwamoja. Hiyo l3110/3111 zinawahi kuharibu sensor
 
Kuna epson l3150 kwenye status inaandika error code 000043,haiprint inawaka taa nyekundu za wino na karatasi..
nimechunguza kama kuna kipande cha karatasi kimebakia kwenye roller hakuna,
nimevuta wino kwa kutumia bomba kwenye zile catridge lakini bado
Nimejaribu ku update drivers lakini bado..
msaada tafadhari
 
Ingia google search hiyo error.
 
Back
Top Bottom