Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

Mkuu em nisaidie kwa mawazo aisee kwahiyo nichukue ipi ambayo haiwahi kuharibika? Ila hiyo 900000 mpaka 1.2m ipo juu sana maana kwa Dar ni 650000 mkuu.
Hizo Ni Bei kwa Dar es salaam,sasa hiyo 6500K vipi tena
Screenshot_20220115-161651.jpg
Screenshot_20220115-161548.jpg
 
Huwezi pata kwa hiyo Bei,sasa Kama itakubidi uende wewe ukijumlisha na nauli,kula, kulala unapata sh ngapi?

By the way unataka printer ya features zipi na kwa shughuli ipi?
Mimi naishi kijijini hivyo nataka printer kwaajili ya kuprint picha, kutoa copy, kutengeneza kadi za harusi,kutengeneza passportsize, ikiwezekana na lamination hivyo kwa huku kijijini itanifaa
 
Uko Kijiji gani mkuu,by the way mashine l805 haican Wala kutoa kopi,yenyewe inaprint tu,so kwa kazi hizo l85O itakufaa sana
 
Vitu vinapanda na kushuka,Wakati nanunua Mimi mwaka 2018 zilikuwa 1.2M, mwaka juzi nilinunua kile kipindi Cha korona imepamba Moto ilikuwa 1.1 , Bei ya kuanzia , nadhani Bei inarange kwenye 900K -1.2M kwa mwanza.

Ila hizi mashine zimekuwa mbovu Sana,sinawahi kuharibika,ya kwangu ya mwaka 2018 toleo jipya haijawahi nisumbua,ila Kuna jamaa zangu wamenunua baada ya kuzoeleka sokoni zinaharibika mapema Sana.

Hebu angalia Kam kuna toleo jipya
Nami ninayo ya 2018 nimeibadilishia header pekee
 
Vitu vinapanda na kushuka,Wakati nanunua Mimi mwaka 2018 zilikuwa 1.2M, mwaka juzi nilinunua kile kipindi Cha korona imepamba Moto ilikuwa 1.1 , Bei ya kuanzia , nadhani Bei inarange kwenye 900K -1.2M kwa mwanza.

Ila hizi mashine zimekuwa mbovu Sana,sinawahi kuharibika,ya kwangu ya mwaka 2018 toleo jipya haijawahi nisumbua,ila Kuna jamaa zangu wamenunua baada ya kuzoeleka sokoni zinaharibika mapema Sana.

Hebu angalia Kam kuna toleo jipya
Kwasasa nadhani ni 700_800k mpya. Hata l850 nazo kam za sasa zimeanza kufakufa. Mashine ambayo naikubali kwa epson ni px660, 210, 220, 382 na T50. Sema kuzipata ndio mziki. Nina 805, 382, 220 na px660 na zinapiga mzigo balaa.
 
Mkuu em nisaidie kwa mawazo aisee kwahiyo nichukue ipi ambayo haiwahi kuharibika? Ila hiyo 900000 mpaka 1.2m ipo juu sana maana kwa Dar ni 650000 mkuu.
Dar zimeshafika 700,000 hadi 7.5 mkuu. Mfumuko wa bei za bidhaa sio wa kitoto
 
Mimi naishi kijijini hivyo nataka printer kwaajili ya kuprint picha, kutoa copy, kutengeneza kadi za harusi,kutengeneza passportsize, ikiwezekana na lamination hivyo kwa huku kijijini itanifaa
Tafuta l382 mkuu. Kama unataka kutengeneza na pvc card chukua 850 japo nayo usipokua makini itakufa mapema.
 
Kwasasa nadhani ni 700_800k mpya. Hata l850 nazo kam za sasa zimeanza kufakufa. Mashine ambayo naikubali kwa epson ni px660, 210, 220, 382 na T50. Sema kuzipata ndio mziki. Nina 805, 382, 220 na px660 na zinapiga mzigo balaa.
Kwahiyo mkuu unanishauri nichukue L805?
 
Back
Top Bottom