kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 422
Lina ukweli kwa wengine Ni malipo na mateso lakini kwangu Ni tofauti mkuu.Nasikiaga wanasema mnawalipa kidogo hiyo aliyochukua ni bonus yake
Comments kama hizi zinaacha maswali mengi ya kiriwaya kichwani!Lina ukweli kwa wengine Ni malipo na mateso lakini kwangu Ni tofauti mkuu.
Naamini ule usemi usemao "mgogo MGOGORO" Miaka ya nyuma kidogo nililetewa house girl mshahara Laki na hamsini,kazi yake kubwa Ni kuangalia nyumba na kujipikia chakula chake Cha mchana KAZI ZOTE HUFANYWA NA WANAFAMILIA LAKINI ALINI IIBIA MTOTO KWA USHURIANO NA JIRANI WAKAMSAFIRISHA NJOMBE!
Comments kama hizi zinaacha maswali mengi ya kiriwaya kichwani!
Mgelikuwa mnachanganua msala mzima ulikuwaje, maana msomaji unamwacha na 'ombwe' asijue kilichoendelea baada ya mtoto kuibwa!
Je alipatikana? Je huyo mwizi alitiwa mbaroni nk nk!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mkuu, hawa waja unawalipa kwa wakati, mnakula na kunywa pamoja lakini sijui visa vyao vinatokea wapi.Nasikiaga wanasema mnawalipa kidogo hiyo aliyochukua ni bonus yake
Ka vumbi la Congo vileWanakera bora wakae kimya tu,,.
Eti waliniibia mtoto na kusafirisha njombe?
Kaishia hapo tu utazania huyo mtoto anathamani ya chupa ya chai au flat tv..
Kuibiwa mtoto ni issue nyeti mzee funguka mwisho wa siku alipatikanaje
Hahah hawa huwa wako kwenye siku za hatari muda wotr yani ukiweka mali tuu inakuwa ulimbo ananasa...watch out hata kama kitasa kisiwe kibovu to that extent!!Wanaume wenzangu kama tulivyokubaliana kwenye kikao kilichopita..
Kitasa cha housegirl kiwe kibovu milele!
Hahahahaaaaa...Wanakera bora wakae kimya tu,,.
Eti waliniibia mtoto na kusafirisha njombe?
Kaishia hapo tu utazania huyo mtoto anathamani ya chupa ya chai au flat tv..
Kuibiwa mtoto ni issue nyeti mzee funguka mwisho wa siku alipatikanaje
Hawa wanaoitwa house girls siku hizi baadhi ni mawakala wa matapeli. Anakuwa anamilikiwa na mtandao wa matapeli halafu anatafuta kazi. Akipata anafanya vizuri sana siku za kwanza kumbe anawataimu tu na siku akipata mwanya anachukuwa chake na kusepa. Kundi la pili ni wale waliokuja mjini na kuasi... wamekuwa machangudoa. Na hivyo hivyo. Anatafuta kazi anafanya siku mbili tatu akapata nafasi anaiba na kusepa. House girl unayeweza kumuamini ni yule ambaye umeletea kutoka kijijini kwenu, na mnajua kwao.Hivi majuzi tu nilikuwa na msaidizi wa ndani kwangu kutokea mikoa ya Kaskazini, alikuwa anatimiza wajibu wake vizuri kuanzia kuwahi kuamka, kufanya usafi, kupika na kumuangalia mtoto wangu mdogo.
Lakini hapa majuzi amenipiga tukio kwa kuniibia pesa zangu ninazotafuta kila siku kwa kuvuja jasho jingi.
Yani aliingia ndani kwangu kisha akapekua hadi akakuta wallet iliyokuwa imenona mshiko kisha akasepa nayo.
Hawa watu hata uwe mwema vipi hawaishi vituko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo paragraph ya mwisho imenifurahisha sana.Siri ya dada wa kazi ni kuwa wiki ya kwanza akianza kazi unaweza sema hapa nimeokota dodo kwa jinsi anavyojituma.Sisi tulipigwa 70k anyway hatukumhisi. Ila alipika wali boflo so wakati wa kula nikasema huu wali si mzuri. Kesho yake tumeenda church ile tumerudi tunakuta masufuria yote kayatoboa na msumari na kasepa zake.
Yeye ni mtu wa kuleeee "Mike T ningekuwa star, ningekuwa na mkwanja kachaa, ningekuwa mi mrefu na mkwanja kachaa Iringa town ingekuwa balaa"
Nasikiaga wanasema mnawalipa kidogo hiyo aliyochukua ni bonus yake
Kumbe niwe najichukulia bonus,maana serikali inanilipa kidogo
Watu wanakula maisha kilaini sanaHawa wanaoitwa house girls siku hizi baadhi ni mawakala wa matapeli. Anakuwa anamilikiwa na mtandao wa matapeli halafu anatafuta kazi. Akipata anafanya vizuri sana siku za kwanza kumbe anawataimu tu na siku akipata mwanya anachukuwa chake na kusepa. Kundi la pili ni wale waliokuja mjini na kuasi... wamekuwa machangudoa. Na hivyo hivyo. Anatafuta kazi anafanya siku mbili tatu akapata nafasi anaiba na kusepa. House girl unayeweza kumuamini ni yule ambaye umeletea kutoka kijijini kwenu, na mnajua kwao.