Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika uspy wao

Kuna wakati tulisikia jeshini kuna mnyaruanda aliweza kuingia na kupata ngazi za juu, polisi na uhamiaji ndio usiseme. Ndio kusema wenye madaraka hawaoni au wenye jukumu la kulinda nchi yetu hawawezi kung'amua haraka na kushauri hatua za kuchukua?
Naona km Mhe. Aliyepita angalau alishtuka na kuanza kuwachomoa...
Mmh!
 
Mkuu Tanzania ni nchi makini sana wote hao wamejifunza kwetu. Na nchi nyingi za Africa zimejifunza uspay kutoka kwetu. Na ukiangalia viongozi wengi wa Africa wametokea bingo.
Porojo za mchana.HAKUNA umakini wowote,imebaki intelijensia ya kidaku tu ya kufuatilia "wapinzani.

Tulikuwa shule n.a. wanyarwanda wengi tu n.a. mmoja siku hizi ni afisa wa juu jeshini Rwanda.

Hata walio ktk utumishi n.a. wanajulikana asili yao hakuna hatua zinazochukuliwa,kisa wanaunga mkono mfumo (ccm).
 
460487.jpg

Hii pekee yatosha.
Mimi Mtwa
Haina mahusiani yoyote na msimamo wangu
 
Mleta mada nimekupenda sana uzalendo si lazima ufanye nini ndo huu,sababu nielewavyo hii pia ni hatari kuzidi WATANZANIA kwa msioelewa huwa kuna mpango wa siri wa kuifanya Rwanda kuwa moja ya taifa kubwa barani Africa na huu mpango haujapangwa kipindi cha kagame yeye mwenyewe kaukuta na anauendeleza na akitoka ajae kama ni mtusi lazima aendeleze.najua WASOMI UCHWARA WA BONGO watapinga sana japo ukiwauliza uhusiano uliopo baina ya UK,ISRAEL, USA,AUSTRALIA kwa nini uwe wa kudumu na wako tayari kumtetea mwenzao kwa jasho na damu? Natamani sana siku moja Rais wangu aeleze hadharani yeye ni Msukuma sawa asili yake ni wilaya ipi sababu wasukuma wa chato walihamia tu kabla ya Uhuru na si kwamba walikuwepo pale miaka yte
 
Hii hoja ni ya msingi sana watanzania walivyo wavivu wa kufikiri watachukulia blahblah sababu hata wasomi wa kibongo huwa sioni tofauti na hao wawaitao mbumbumbu,ni kweli Rwanda kuilinganisha na tz ni overrated lakini fikiria miaka 15 iliopita hyo nchi ilkuwa na ubavu wa kuikoromea Tanzania? na vipi ikipita miaka 15 tena mbele? tusiishi kwa mapokeo na hadithi za hapa na pale na wanaokatisha tamaa thread za namna hyo na hawa hawa watutsi waliojazana hapa nchini.moja ya madhara ya mizaha hii iliwakuta Uganda kwenye ile vita ya siku 6 zaidi ya askari 1500 waliuwa na wengine zaidi ya 200 walipotea hku wakipoteza vifaru na magari karibia ¾ je Uganda ni nchi ya kuadhirishwa kwa kiwango hicho? Ni lazima tukubali tulikosea na tunaendelea kukosea kwa wale msiojua watutsi hawakuhesabu mbantu kama ni binadamu na sishangai kuona EAC kuwa na viongozi ambao huenda asili yao ni huko,Mtikila aliujua vema mpango yaliyomkuta wachache mnayajua pia kwa wale mlioowa mtutsi hao watoto sio wenu.Mipango mingi wengi wanaijua lakini huwa nashangaa kwa nini hawachukui hatua? mfano DRC kuwa nchi mbili, sudani kuwa nchi mbili(tayari) Rwanda&Burundi kuwa nchi moja,kwa ajuae hizi habari japo kwa uchache bila shaka moyoni atakuwa anavuja machizi
 
Those are myths and hitorics. Kwani Rwanda imeanza mwaka jana? Acheni ku overexagulate ambitions za Rwanda. it's a poor African country like other African countries living in absolute poverty with shortage of land mass illiteracy no clean and safe water just struggling to survive. Hawana uwezo wakifedha wakijeshi au kitekinolojia kudhubutu eti watawala Africa nzima it's being unrealistic and over ambitious.
 
Hii hoja ni ya msingi sana watanzania walivyo wavivu wa kufikiri watachukulia blahblah sababu hata wasomi wa kibongo huwa sioni tofauti na hao wawaitao mbumbumbu,ni kweli Rwanda kuilinganisha na tz ni overrated lakini fikiria miaka 15 iliopita hyo nchi ilkuwa na ubavu wa kuikoromea Tanzania? na vipi ikipita miaka 15 tena mbele? tusiishi kwa mapokeo na hadithi za hapa na pale na wanaokatisha tamaa thread za namna hyo na hawa hawa watutsi waliojazana hapa nchini.moja ya madhara ya mizaha hii iliwakuta Uganda kwenye ile vita ya siku 6 zaidi ya askari 1500 waliuwa na wengine zaidi ya 200 walipotea hku wakipoteza vifaru na magari karibia ¾ je Uganda ni nchi ya kuadhirishwa kwa kiwango hicho? Ni lazima tukubali tulikosea na tunaendelea kukosea kwa wale msiojua watutsi hawakuhesabu mbantu kama ni binadamu na sishangai kuona EAC kuwa na viongozi ambao huenda asili yao ni huko,Mtikila aliujua vema mpango yaliyomkuta wachache mnayajua pia kwa wale mlioowa mtutsi hao watoto sio wenu.Mipango mingi wengi wanaijua lakini huwa nashangaa kwa nini hawachukui hatua? mfano DRC kuwa nchi mbili, sudani kuwa nchi mbili(tayari) Rwanda&Burundi kuwa nchi moja,kwa ajuae hizi habari japo kwa uchache bila shaka moyoni atakuwa anavuja machizi
Baambie ...wale mlioowa mtutsi hao watoto sio wenu......Wanapigiwa na mashemeji zao hao. Wageni wa kiume hupangiwa kuja na kula mizigo siku za hatari (Za kuweka mimba). Mifano ipo. Na watoto huaminishwa kuwa Rwanda ni Sehemu bora kuliko sehemu yoyote ile Duniani.
 
Kumekucha baadhi ya maeneo lakin kwingineko bado ni usiku na kwingineko inaelekea mchana,


Katika kazi zangu nimepata bahati ya kukutana na dada mmoja jina ntamuita code name MNBQX

Huyu dada Tumekuwa naye katika kazi mbali mbali Kwa miaka minne iliyopita, na bahati nzuri huwa tunakutana mara Kwa mara , kulingana na nature ya kazi

Tumebahatika kuwa marafiki wa kawaida maana tunatokea ukanda mmoja wa Africa mashariki,

Baada ya kunizoea Sana na kugundua baadhi ya mambo kwake na yeye kugundua kwangu, kaamua kuuza timu,

Lakin kulingana na aina ya habari alizonipa inabidi niandike Kwa umakini Sana kuweza kuficha baadhi ya mambo,

Uzi huu utakuwa na update za mara Kwa mara kulingana na umakini wa kuedit alichoniambia na kutumia mbinu ya Hali ya juu kuwasilisha ujumbe bila kuweka bayana mambo yote wala wahusika kujulikana moja Kwa moja,

Lakin hii itakuwa somo Kwa Nchi zinazomzunguka Rwanda na wanaojipendekeza Kwa Rwanda ,

Kaa ukijua Rwanda ina agenda ya Siri ambayo si wanyarwanda wote wanajua

Asilimia 60 ya wanyarwanda ni ma spy na asilimia 70 ya wanyarwanda walio nje ya Rwanda ni ma spy katika mataifa waliopo,

Kwanini Rwanda afanye uspy? Hasa Kwa nchi hizi masikini kama Tanzania, Uganda ,Burundi na Kongo? Atafaidika nini? Yote hayo utayajua,

Miez Saba iliyopita nilibahatika kukaa na huyo mdada Kwa ajili ya story za kina Sana juu ya Rwanda , na nilimueleza baadhi ya mambo niliyogundua kwake , ilikuwa ngumu kuniambia na alisita na hakutaka na akabadili kabisa story kabisa,

Week moja baadae nikamkuta na reports ambazo zimeandikwa Kwa kinyarwanda, na mara zote anajua sijui au sielewi kinyarwanda,

Maelekezo hayo yalikua ya kutimiza mambo ndani ya Uganda wakati wa Uchaguzi mkuu ulio pita ,

Maeneo tajwa ni Kyengera, Busega kasese na nansana,..

Kwa chaguzi za Tanzania katajwa mchingaji mmoja R.I.P kukwamisha hatakati hizo,

Imetajwa Dodoma, karagwe , chalinze Dar es salaam , morogoro,


Katajwa Joseph Nimi alokamatwa pale hoteli mwanamboka,

Umetajwa mfumo wa kuhesabu Kura na technologia

Baadae akagundua naelewa kinyarwanda kulingana na habari nazo muuliza akaona nimeshajua mengi mno akaniweka wazi kwa kuwa anajua tuna mambo mengi tumefanya pamoja
Na ananitegemea Sana kukamilisha Jambo ilo

Akaniweka wazi kwamba Rwanda wakijikuta wakiitumia njia Inaitwa "kyambugu method" ili kufanikisha ushushushu maeneo mbali mbali Africa,

hapa wanaume ma handsome walitafutwa Kwa Hali na mali ili kuwatumia, na walikuwa na mvuto kweli wakawa wanatumwa nchi nyingine kuwatongoza wanawake masekretari/karani wa ofis mbali mbali na kupata taarifa sahihi kabisa wanazotaka, maana ilikuwa ngumu kuwatumia wadada kuomba kazi nchi hizo kwakuwa na ugumu wa uraia,

njia pekee ni kutumia wanaume wenye pesa, Vipaji na mvuto kukamilisha kazi hiyo pia kama waliona sehemu haiingiliki hao wanaume ma handsome walitumia marafiki wapya wa kike kiwafanikishia Hilo jukumu Kwa kutongoza wanaume ambao wapo katika office,

Mtu maarufu katika kuwapa mafunzo alisema " Ni Rwanda iliyofanikiwa katika mfumo wa kuwahusisha wanawake katika mbinu za kiujasusi na ushushushu katika africa, waliwafundisha wanawake njia za kujitongozesha katika wanaume, msichana huyu alendeleaa alielezea story moja kuhusu Rwanda na jinsi wanavyowapata wasichana warembo mnoo kuweza kutumika katika ushushushu Kwa kuangalia video za porn na kuangalia jinsi wanawake wanaweza kuwavutia wanaume Kwa njia mbali mbali,

Jinsi ya kujifanya wanafunzi wa chuo na kuseduce watu maarufu,

Serikali ya Rwanda Imewalipia mpaka Ada vyuo mbali mbali na kuishia katikati Kwa kisingizio cha Ada kukatika,

Wamekuwa wakitumika mipakani na kuwapenda maafisa uhamiaji mpaka wa ngazi za juu,

Anaendelea kueleza jinsi ambavyo wanaweza wakawa katika mahusiano na maafisa wa jeshi

Katika mafunzo yetu , wakufunzi wetu wamesisitiza Kwa mara kwamba sisi ni Askari na silaha ni ni miili yetu, Tulikuwa tiyari kusinzia na kila mwanaume ili tupate taarifa sahihi, na tumekuwa tunafanya kazi Kwa Oder hata kama hutaki ukipata maelekezo lazima utimize dhamira hiyo ,
Tumefundishwa mbinu nyingine nyingi kama za mawasiliano

Steganogrpahy ambayo sisi tuliita WEKENGE hii ni mbinu ya kuficha taarifa kama unawasiliana na mwenzako unatuma taarifa Kwa njia ya meseji kuna maneno yanavyowekwa mpaka wengine hawaelewi unamaanisha nini

Nakumbuka wakati wa Mwaka 2005 wa Tanzania tulipewa maelekezo nami nikawa miongoni mwa watu waliokwenda Tanzania tukapanga safari mpaka Rusumo baada ya kufika pale tukakubaliana .......

Itaendelea maana hapa kuna majina natafta jinsi ya kuyawasilisha
huyo Mchungaji R.I.P huko aliko nadhani baada ya yeye kutaja mikakati husika wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mikakati ile haikuwahi kukwama imefanikiwa sana na kwahilo Rwanda imeshinda, natamani sana mtu huyu angekuwepo kwani alikuwa mstari wa mbele kutibua na kutaja mikakati mbalimbali na alikuwa anajua watanzania wengi ambao wamekabidhiwa zamana katika maeneo nyeti ya nchi wengi wao wametokea Rwanda.
 
Those are myths and hitorics. Kwani Rwanda imeanza mwaka jana? Acheni ku overexagulate ambitions za Rwanda. it's a poor African country like other African countries living in absolute poverty with shortage of land mass illiteracy no clean and safe water just struggling to survive. Hawana uwezo wakifedha wakijeshi au kitekinolojia kudhubutu eti watawala Africa nzima it's being unrealistic and over ambitious.
Wambie watanzania tusizidishe woga
 
Ni kama vile the whole of Rwandan population ni members employed kama Rwandan Secret Service...


Hii ni uongo mkubwa!

Haka kanchi kapo overrated sana!

Sidhani kama hii tabia ya kukuza vitu inawasaidia Warwanda!Kuza kuza mambo tu ambapo mwisho wa siku ni uongo uongo tu!
 
Hivi wale Watanzania 13 waliodaiwa kuwa walikuwa ni ' Watafiti ' wa walikamatwa huko nchini Malawi wakidaiwa kufanya ' Spying ' waliachiwa au wapo ndani mpaka leo? Hivi kuna nchi barani Afrika ambayo imepenyeza mno ' Manjagu / Majasusi ' wake katika nchi nyingi tena za jirani yetu kabisa kama Tanzania? Leo kuna lipi la ajabu Wewe kuona Wanawake Warembo / Wanyange wa Kinyarwanda wanaifanyia ' Unjagu / Ujasusi ' Tanzania wakati hata Wewe Tanzania umepenyeza Watu wako tena Wanaume wengi wakijifanya Madereva wa Daladala na Wanawake wengi wakiwa ' Wasusi ' na wengi wao wapo mji Mkuu wa Kigali? Ukilijua hili basi jua mwenzako analijua lile na naomba niishie hapa tafadhali.
Huyu hajui hata Malawi Banda alitolewa na nani?
 
a5cb8d7d5b9b8a55d277675c7d05eaf9.jpg


Soma hicho Kitabu kina Siri nyingi sana juu yao. Ulenga wenye fedha na Vyeo (Mamlaka).

Mke mdogo wa mtemi Milambo ni Mtusi, ukienda tabora mjini utakuta mtaa unaitwa ''mtaa wa watusi".

Kiongozi mmoja Mkubwa Polisi (jina lake linaanza na K), mkwewe ni Mtusi, na ametumika sana kuingiza Watusi Polisi. Inasemekana viongozi Wakuu wa EAC ukiwatoa wale wa Kenya na Sudan. Asili yao ni Rwanda.

Mambo ni fireeeeeeee.
nampata huyo bwana k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom