We kule ndo pazuri unajiona uhalisia huku online pabaya sanaWewe tu mzee ila kule kwa matajiri sisi wanyonge tunacheza zetu nyumbani kwenye simu
Mchezo wowote wa casino una tahadhari unatakiwa kucheza kistaarabu boss pia Kuna bahati kunabaadhi ya michezo nitakua na share kama nikipata ushindi mkubwa na nikosa pia nitashare muhimu ni kujifunza nakucheza kistaarabuHuu mchezo siku hizi hautoi pesa nyingi kama miaka ya nyuma… users wengiii na kula hadi usiku sana Inachosha.. waambie uko na kilevi na unaweza maliza pesa
Ndio nakuambua kuwala this days ni kwa manati hadi users wanalalamika,Mchezo wowote wa casino una tahadhari unatakiwa kucheza kistaarabu boss pia Kuna bahati kunabaadhi ya michezo nitakua na share kama nikipata ushindi mkubwa na nikosa pia nitashare muhimu ni kujifunza nakucheza kistaarabu
kulaghai kupo wapi hamna mtu ameombwa hela humu wala namba kama una mchezo wa kasino unajua kucheza upo kampuni yoyote tupe maujuzi wengine wanao hitaji wajifunze sharti usiweke link wala usiombe namba ya mtu humu nimeshatoa masharti ya uzi huu juu kabisaNaona wazee wa kampuni za kubet mmeanzisha uzi wa kutulaghai na betting zenu... pumbaf...
Ni mchezo upi wa casino ambao ni mzuri kuliko mwingine, na unapatikana kwenye kampuni ipi?Kutokana na uhitaji wawatu wengi kufahamu kuhusu casino za mtandaoni nimeona hatuna uzi maalumu wakujifunza na kujadiliana mbinu za michezo hiyo .kwamaana Uzi uliopo humu ni wakubeti mpira tu hivyo nimeanzisha uzi huu utakua maalumu kwa casino pekee
Sheria za Uzi huu.
1. Hakuna kutuma link yoyote ya mchezo zaidi ya maelekezo na namna ya kuupata
2. Hakuna kutuma mawasiliano binafsi au kuchukua namba za watu kuanzisha group jingine nje ya ukurasa huu
3. Unaweza kutuma picha na maelekezo
4. Unaweza kuuliza swali lolote au kuchangia kutokana na maelekezo yaliyopita
5. Kabla hujatuma maelekezo hakikisha unafahamu mchezo husika vizuri.
6. Wote tupo humu kwa lengo la kujifunza hivyo heshimu mawazo ya mtu mwingine .
7.Ukikiuka vigezo na masharti vya Uzi huu tutakuwajibisha kwa mods.