Kutana na Toyota Rumion New Model 7seater

Jemedaree

JF-Expert Member
Nov 22, 2021
673
1,993
Habari wakuu
Leo katika pilika nmekutana macho kwa uso na Rumion new model,mitaa ya mwenge baadae nkakutana nayo tena mikocheni.

Mwanzo nlizani ni toyota Ipsum kuchek nyuma ni Rumion

Ina shape tofauti na old model mpaka taa

Lakini kikubwa zaidi ni 7 seater

Sijui vingi kuhusu hii gari lakini ni latest

Hii inaonesha bongo sahivi watu wameamka
Wana import gari za hivi karibuni.Nice!

Tunaomba wajuzi wa hii au wamiliki watupe ABC
Za Hii Toyota Rumion maybe inaweza kuwa alternative ya vanguard na Rav 4 kwa wenye kipato cha kati.

Karibuni,

IMG_9838.jpg

IMG_9839.jpg

IMG_9986.jpg

IMG_9987.jpg
 
Huchelewi kukuta ni zaidi ya milioni 50

Hiyo ni ya Serikali itakuwa ni 0 km.

Ila hata kama la mtu binafsi bei imesimama ndio mtu anapoamua kwenda kununua discovery 3/4 used.
 
Huchelewi kukuta ni zaidi ya milioni 50

Hiyo ni ya serikali itakuwa ni 0 km.

Ila hata kama la mtu binafsi bei imesimama ndio mtu anapoamua kwenda kununua discovery 3/4 used.

Sikupingi kwa 0km bei lazima itakuwa juu

Lakini wapo wanaoweza kumiliki,and it’s better for them to be informed kwamba kuna Rumion new model
 
Haya ndo matundu ya choo wanayoyasema?
Habari wakuu
Leo katika pilika nmekutana macho kwa uso na Rumion new model,mitaa ya mwenge baadae nkakutana nayo tena mikocheni.

Mwanzo nlizani ni toyota Ipsum kuchek nyuma ni Rumion

Ina shape tofauti na old model mpaka taa

Lakini kikubwa zaidi ni 7 seater

Sijui vingi kuhusu hii gari lakini ni latest

Hii inaonesha bongo sahivi watu wameamka
Wana import gari za hivi karibuni.Nice!

Tunaomba wajuzi wa hii au wamiliki watupe ABC
Za Hii Toyota Rumion maybe inaweza kuwa alternative ya vanguard na Rav 4 kwa wenye kipato cha kati.

Karibuni,

View attachment 2443322
View attachment 2443323
View attachment 2443325
View attachment 2443326
 
Back
Top Bottom