Uzi maalumu: Kwa wale vijana tuliokwama katika maisha tushauriane mambo muhimu ya kufanya wakati huu

Huu ni uzi maalumu wa kushauliana kama vijana kupeana mawazo nini cha kufanya kipindi hiki tuweze kuvuka hatua hii.

Hivyo hebu tupeane ushauli ndugu zangu tufanye nini na sisi tuweze kuvuka hatua ya kimaendeleo wakati huu.
Pole sana mdogo wangu. Endelea kumuomba Mungu na kuwa mvumilivu, hakika atakufungulia milango ya baraka
 
International passport si ataomba Immigration atapewa bei yake haizidi 100 USD
Hakuna kitu inayoitwa international passport kuna srateless pass inayotolewa na UN
Hakuna nchi gumu dunia hii kupata visa hasa workig permit kama Canada

Na bila kuwa na biometric passport mwisho wako utaangukia kwa smugglers
 
International passport ni document inayotelewa na immigration office ili kukuruhusu wewe kutoka nje ya nchi yako sasa unavyosema hiyo kitu haipo
???
 
Back
Top Bottom