UZI MAALUMU: Ballon d'Or

Sio Mbape tu, sisi tu

Sio Mbape tu watu waliokuwa wanafuatilia mpira wa Ulaya enzi hizo, wangekuona chizi kama ungebisha kwamba Neyma asingeweza kumaliza maisha yake soka bila Ballon d'Or wakati anatola kwao brazil kuja kujiunga na Barcelona. Halafu leo unaona akina Ndembele wananyanyua makwapa kufurahia hiyo tuzo!
 
Maashallah ndugu yetu muislamu ousman dembele hongera sana, kati yako wewe au lamine nilitamani mmoja apate tuzo hiyo, sikutamani apate yulee raphinha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…