Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 1,812
- 2,230
Sio Mbape tu, sisi tu
Maisha hayana formula kabisa
Hivi nani alitegemea eti siku moja Ousmane Dembélé au Lamine Yamal anaweza kutangulia kunyanyua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kabla ya Mbappé
Msimu huu ni mchuano mkali kati ya janja machachari Lamine Yamal na Ousmane Dembélé
View attachment 3477538
View attachment 3477539
Sio Mbape tu watu waliokuwa wanafuatilia mpira wa Ulaya enzi hizo, wangekuona chizi kama ungebisha kwamba Neyma asingeweza kumaliza maisha yake soka bila Ballon d'Or wakati anatola kwao brazil kuja kujiunga na Barcelona. Halafu leo unaona akina Ndembele wananyanyua makwapa kufurahia hiyo tuzo!Maisha hayana formula kabisa