UZI MAALUMU: Ballon d'Or

UZI MAALUMU: Ballon d'Or

AA1N5bnm.img
 
Ousmane Dembélé between 1 August 2024 and 13 July 2025:

👕 60 appearances
⚽️ 37 goals
🅰️ 14 assists
🔑 3.1 key passes p/90'
💨 1.9 successful dribbles p/90'
📈 7.70 average Sofascore Rating
 
Mbape kaungana na Zlatan katika ule Mchezo wa kuondoka huku na vyote kuja huko ulipopaacha.

Inataka roho ya kiume ili kujibeba uendelee mbele.
 
France have now had more different Men’s Ballon d’Or winners than any other nation in the award’s history:

◉ Raymond Kopa (1958)
◉ Michel Platini (1983/84/85)
◉ Jean-Pierre Papin (1991)
◉ Zinedine Zidane (1998)
◉ Karim Benzema (2022)
◉ Ousmane Dembélé (2025)
 
OFFICIAL: Ousmane Dembélé has won the 2025 Men’s Ballon d’Or. 🏆

His 2024/25 for club and country:

◉ 60 games
◉ 37 goals
◉ 15 assists
🏆 Ligue 1
🏆 Coupe de France
🏆 Trophée des Champions
🏆 Champions League
🏅 UCL Player of the Season
🏅 Ligue 1 Top Goalscorer
🏅 Ligue 1 Player of the Year
🏅 Ballon d’Or
 
France have now had more different Men’s Ballon d’Or winners than any other nation in the award’s history:

◉ Raymond Kopa (1958)
◉ Michel Platini (1983/84/85)
◉ Jean-Pierre Papin (1991)
◉ Zinedine Zidane (1998)
◉ Karim Benzema (2022)
◉ Ousmane Dembélé (2025)
Kabla ya Osumane walikuwa Sawa na German 5/5.
But ya German ilikuwa inakitu Cha kutisha Yani Beki kuchukua tuzo hii Mara mbili.

#Franz Beckenbauer
 
Hivi miaka ya sikuhizi ni kwamba wachezaji mashuhuri wachache au vipaji vichache.
Miaka ya nyuma hata mtu ambaye hafuatilii mpira kabisa, angeweza taja majina 20 ya wachezaji bila kupundisha, watoto, wanawake wangetaja.
Sasa hivi ni mpaka uwe unafuatilia sana mpira ndo utajua baadhibya wachezaji, tena unashangaa et ndo wanachukua tuzo...Mbappe & Yamal ndo kidogo wako popular, ingawa Mbappe naye mara anapotea, mara anaibuka.
Ni kwamba watu wa marketing na kuwapromote wachezaji hamna siku hizi au vipaji hamna - imekua ajira tu
 
teknolojia imekua sana vitu vya kufatilia ni vingi
 
Anastaili nimchezaji asiyekuwa na makuu kabisa lif lake lipo kama sadio mane
 
Mbape kaungana na Zlatan katika ule Mchezo wa kuondoka huku na vyote kuja huko ulipopaacha.

Inataka roho ya kiume ili kujibeba uendelee mbele.
Kwenye hiyo list usimsahau Ibrahim Ajib na Clatous Chama (aliondoka RS Berkane kurudi Simba, huku akiwaacha wenzake wakivaa medali za Confederation Cup. Kisha akaondoka Simba kwenda Yanga, Ile kuondoka tu Simba wakavaa medali za Confederation Cup).
 
Back
Top Bottom