Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,416
- 28,178
Ni kama kura zinawaangukia Dembélé na YamalOya raphinha mmemsahau au?
Mbape kapishana na vyote.
Ajaribu huko alipo.
Yeah mgawanyiko wa kura zilizokwenda kwa Raphinha na Yamal unaweza ukamfanya ashindeDembele anaweza kuchukua japo ngoma huwa haitabiliki
Yumo mjengoniNaskia dembele kasusa