GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu 2025

GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za Udiwani.

Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Udiwani na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo.

Juni 2025

Injinia G . Mgube atia Nia Kongwa
 
Lucas Jaribu huku mshtue na Mwenzio Pasco
 
We are being watched. The gvt has a secret system,a machine to spy on you in every hour of every day. I designed the machine to detect acts of terror but it ceased everthing, violence and crimes that involve ordinary people, the gvt consider these people irrelevant, we dont. Hunted by authorities, we work in secret, you will never find us, but victims or perpetuator, if your number is up, we will find you.
 
Back
Top Bottom