Uzi maalum wa sentesi ambazo ukisema kwa haraka hara unajikuta unatukana au kukksea

Internal

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
3,575
3,894
Hii in maalum sana kwa zile sentesi ambazo ukijichanganya tu unaangukia kwingine .

Mfano.

Jaribu kutamka kwa speed
Ndege mwekundu kala mkungu wa ndizi...... ndege mwekundu kala mkungu wa ndizi.

Karibuni
 
Twende na hii.

Mpishi mbishi kapika mchicha mbichi.

Kwa speed leta mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…