Hapana hii mada itafika panapohusika na kuna baadhi (si yote) yatafanyiwa kazi... Trust me utaona kuna mabadiliko baada ya mudaMnajisumbua kwa uongozi huu ..ni sawa na kumpigia mbuzi gitaar mkitarajia amwage mauno bora Bata ....Rais mwenyewe anakuambia
..Sishauriki na ukijaribu ndo unaharibu kabisaaaa...vipi kwa vibaraka wake ..?
Ama kwel saul tumemtaka wenyewe acha ajitawale atakavyo...
"Kusikia kwa kenge hadi...."
Hivi hadi sasa maamuzi ya kukurupuka yamelitia taifa hasara kiasi gani vile...vile viwanda zaidi ya 1000 vimeajiri vijana kiasi gani vile ....hiv wale waliosema Rais aongezewe muda wa kuwa madarakani ni watz au wasomalia..? mbona twaweza wako kimya wapi tafiti au ile 1/4 imeongezeka..?
Hapa upepo tu kazi muulize punda....
Unashangaa nini..? unafikiri wakiamua hawawezi..? miafrika tutaendelea kulia umaskini kwa upumbavu wetu but we can made it.. mbona yenyewe yanatuletea dawa zenye madhara..? huko china uwo mchele wa plastic unafikiri government yao haijui..?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Sent using Jamii Forums mobile app
OK OK sawa nimekupata vemaUnashangaa nini..? unafikiri wakiamua hawawezi..? miafrika tutaendelea kulia umaskini kwa upumbavu wetu but we can made it.. mbona yenyewe yanatuletea dawa zenye madhara..? huko china uwo mchele wa plastic unafikiri government yao haijui..?
if you can't fight them join them! lkn kwa upande wako jilinde,wanauhitaji wa bangi tuwalime tuwapelekee lkn nahamasisha iwe chini ya ulinzi mkali..
leo hii kuna vitu tunavikataa lkn huko mbeleni vitakubaliwa tu lkn inategemea kwa misingi ipi..?
chengine inachokosea serikali haitoi semina kwa vijana ni namna gani watumie pesa zao ili wamentain maisha yao,wapi tuwekeze,sekta ipi inalipa nknk kuna watu wanapata milion 1,2,3...10+ lkn zinakwisha kama hayawani mwandamizi! umaskini upo kichwani mwetu.
sawa msalimie nazjaz😀
Kalala lol! [emoji3] [emoji276] [emoji102] [emoji144]sawa msalimie nazjaz😀
Unaweza kua na mawazo mazuri lakin ebu fafanua anachukiaje wapinzani na ukatupa na evidance itakua poa zaid, na je kusema mikutano na maandamano mpka 2020 ni kuwachukia wapinzani au?unaitafsiri vip chuki ilohali anawachagua sehem ya kutekeleza majukumu ya nchi hao hao? Je nikisema upinzani ndo unaichukia serikali unaweza kunisahihisha vip kwa hoja? Je nikisema upinzani unatamani serikali ifilisike, serikali ifilie mbali, serikali ikose msaada wwte, serikali ikwame kila sehem na wapinzani wakiona hali ni tofauti na matarajio yao kwa nn wasikubali ukwel unaoonekana?chuki na wapinzani kama unavyotuaminisha zinatokana na nini zaid? Je kungekua na mikutano na maandamano suala la chuki dhidi yao lingesemwa au vip?Mie ushauri kwa serikali nauchukulia kama KUPANGIANA...mpaka kauli ya TUSIPANGIANE itakapofutwa nitatoa ushauri wangu.
Na kama hauamini nisemayo basi naanza na ushauri huu mwepesi tuu..SERIKALI IRUHUSU MIKUTANO YA HADHARA YA VYAMA VYA SIASA KAMA WAKATI WA JK NA MKUU AKUBALI KUWAITA WAPINZANI IKULU WANYWE NAYE CHAI AONE MAMBO YATAKAVYONYOOKA.
haipendezi laisi kuweka beef na watu wake hasa wanaotakiwa kumsaidia kuona nchi inapoenda mrama...UPINZANI SIO UADUI.
WAANZE NA HILO LISILOGHARIMU HATA MIA YA SERIKALI...MENGINE YAJA.
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
tutakutumbua 2020Sipangiwi
Hapana hii sio nia ya uzi huuSerekali gani..nani alikwambia inashaurika..ngojs wakuteke kwa uchochezi
Sent using Jamii Forums mobile app
We mpu.uzi usituharibie hii thread
Vyama havipiti...vipo kwa mujibu wa katiba...DEMOKRASIA NA UHURU WA KUONGEA....then mengine yafuate katiba.Vema tukashauri kwa weledi huku tukiweka mipasho maskhara na vyama pembeni... Kumbuka vyama vitapita lakini maisha yataendelea... Tupunguze utani
Sent using Jamii Forums mobile app