Uzi maalum wa Harakati za kutafuta maisha nje ya nchi na changamoto ulizokutana nazo

Inaendelea

Demu alivyoniambia anataka tuishi wote, nikawajulisha Washkaji. Ibra aliniambia 'Kuwa makini Mwanangu South Africa hii, sio Bongo'

Yan kwa kifupi ukifika South Africa kila mbongo unaekutana nae ni Mjuaji na wanapenda kutisha watu na kujifanya kila kitu wanajua. Hawajui kwamba kule kila mtu amekwenda na mipango yake.

Nakumbuka pale Washkaji ishu zao zilikuwa za Madawa na Bangi (Wenyewe wanaita Maini). Yan unalala usiku lakini chini ya Godoro kuna Madawa kibao. Siku za kwanza kwanza nilikuwa naogopa kishenzi. Lakin ukiwatazama wenyewe wala hawana wasiwasi. Nikaanza kuzoea.

Yan mnatembea mtaani halafu watu uliotembea nao wote mifukoni wana madawa kibao. Mengine walikuwa wanaficha kwenye nguo, viatu na mdomoni. Na Washkaji wakijua tu kwamba wewe umeenda South Africa kutafuta mchongo wa halali wanaanza kukutenga. Wanakuchukulia mtoto wa Mama. Vijembe kibao, watakusomea Kesi kila siku.

Chakula mnachanga, sasa Na ole wako usiwe unajua kupika halafu umeenda kutafuta mchongo wa halali, Washkaji watakukatisha tamaa kinoma noma.

Kwa hiyo Ibra hakupenda mm kwenda kuishi kwa demu. Moyoni nikasema potelea mbali, liwalo na Liwe. Maana kwenye maisha ukishaamua kujitoa muhanga kwenye nchi za watu unajitoa mhanga kweli kweli, Ibra sijui alitaka nikae pale anibebeshe Madawa. Moyoni nilishakataa iyo ishu.

Basi Nikawaaga Washkaji pale nikaondoka zangu, Pretoria na kwenda kuishi Midrand, Gauteng

Midrand ipo katikati ya Pretoria na Johannesburg, Ni town Fulani ya kishua.

Maisha na yule Manzi yakaanza rasmi. Demu alikuwa na Jina gumu hatari. Mm niliamuaga tu kumuita Dhobi tu basi.

Demu alikuwa mtu wa Kanisani sana. Kumbuka hapo mm dini yangu ni Muislam. Ila Demu sikumwambia ukweli wa dini yangu. Nikasema kwani kwenda Kanisan kitu gani, Watu wanaenda kwa Waganga Bagamoyo, Tanga, Buza mpaka Kawe, itakuwa mm kwenda Kanisani tu. Basi Tulikuwa tunaenda Kanisani kila siku, Jumatatu mpka Jumapili. Yan kila siku mm ndo nilikuwa namkumbusha demu kwenda Kanisani. Mpaka demu akasema hapa kweli nimepata mume. Ha ha ha Zote hizo harakati tu.

Uzuri wa lile Kanisa lilikuwa la Kishua sana, tunasali jioni kuanzia saa moja mpaka saa nne usiku, halafu gari ya Kanisa inakuja kukuchukua mpaka home na kukurudisha.

Kanisa lilikuwa na Watoto Wazuri hatari. Watoto wakishua kishenzi. Mademu wakalii. Yan demu wangu ni mzuri, alikuwa na Bonge la shepu, zaidi hata ya huyu demu wenu Sanchi World,(Sijui nimepatia jina) lakini sasa hao rafiki zake Demu wangu walikuwa wazuri kuliko hata Demu wangu, sasa jiulize walikuaje wazuri. Ni hatari.

Bahati ya sisi Wabongo tuna muonekano mzuri kidogo, tofauti na Kaka zao, Basi pale Kanisani zikaanza shobo bhana. Mademu full kunikodolea macho. Kimoyoyo nikasema hawajijui mtoto wa Buza.

Basi bhana

Ki kawaida ukifika pale Kanisani unafanyiwa usajili, Mara pap nikajikuta wameni ADD kwenye group la WhatsApp, La haula, hapo ndipo nilipopata namba za Watoto wote wazuri mpaka wale rafiki wa Demu wangu. Nikasema hapa sasa uzalendo utanishinda.

Hapo tunapozungumzia ishafika miezi 2 tayari nipo na Dhobi wangu, bado sijapata mishe yoyote ya kufanya.

Siku nisiyoisahau

Ni siku ambayo Dhobi aligundua kuwa nipo kwenye mahusiano na rafiki yake wa Karibu sana, ni kama ndugu yake vile. Yan huyo Demu niliye chiti nae alikuwa mzuri dah nakosa hata maneno ya kuelezea uzuri wake.

Dhobi alikasirika sana. Mademu wa Ki South wana hasira sana hata wanaweza kuua. Yan wana hasira kinoma. Sio kama mademu wa kibongo, anakufumania analialia halafu anakusamehe. Sio mademu wa South. Demu wa South anaweza kukuchoma hata na Kisu.

Basi pale Dhobi akanitimua kwake mchana kweupe. Siwezi tena kwenda Pretoria kwa kina Ibra. Kwanza Sijawasiliana nao muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee we ni punguani sana yani upo nchi ya watu unaleta tamaa
 
Unazingua jamaa.. kule kwingine ushafika sehemu ya 16 ...story hii hii .. huku Y kawa ibra,
 
Keagan Paul mshenzi Sana umefungua Uzi umesimulia mpaka sehemu ya 16 arafu umeingia porini...
 
Katupiga hadithi balaa, kule alienda south 2014, huku 2012

2012 Whatsapp magroup hayajaanza

Kule demu anaitwa Kanya

Huku sijui jina gumu.

Kwanza alipopiga tu sijui kanisani mgeni unajaza sehemu ya kitengo utakachosaidia nika jua imeumana alipoongezea ile ya kwenda LESOTHO, ha ha ha nikajua Shigongo Remix. Yan uwe haramu alafu uvuke boda? Kwanza kanisa lenyewe anaelezea kama vile waliokuwa wanasali pale wote mbumbumbu yani alikuja mgeni wala hawa hangaiki kujua katokea wapi alafu kanisa la wazinzi

Huku kasema yeye muislamu, kule alisema mkristo tangu akiwa bongo
 
Katupiga hadithi balaa, kule alienda south 2014, huku 2012

2012 Whatsapp magroup hayajaanza

Kule demu anaitwa Kanya

Huku sijui jina gumu.

Kwanza alipopiga tu sijui kanisani mgeni unajaza sehemu ya kitengo utakachosaidia nika jua imeumama alipoongezea ile ya kwenda LESOTHO, ha ha ha nikajua Shigonho Remix. Yan uwe haramu alafu uvuke boda? Kwamza kanisa lenyewe anaelezea kama vile waliokuwa wanasali pale wote mbumbumbu yani alija mgeni wala hawa hangaiki kujua kayokea wapi alafu kanisa la wazinzi

Huku kasema yeye muislamu, kule alisema mkristo tangu akiwa bongo

Hahaaa
 
Back
Top Bottom