Uzi maalum Kwa watumiaji wa Yowhatsapp (special thread)

Hello wakuu,
Kuna hii Option "kuonyesha upo online/offline muda wote hata kama haupo offline/online bila kuaffect wewe kuona real status za wenzako kama wapo online au offline"

Unaipata wapi??
 
Hello wakuu,
Kuna hii Option "kuonyesha upo online/offline muda wote hata kama haupo offline/online bila kuaffect wewe kuona real status za wenzako kama wapo online au offline"

Unaipata wapi??

Sina hakika kama ipo hiyo option. Ngoja tusubiri wajuzi wa mambo waje kueleza hili.
 
Wakuu mbona nikidownload photos au video azionekani huku kwenye my gallarey au my picture
C Umeona Hapo Kwene Hide
Screenshot_2018-03-25-17-12-21-092.jpeg
 
Wakuu, ukitaka ku unhide chats za Yo whatsapp unafanyaje?
fanya hivi
Screenshot_2018-09-06-10-14-39.png

itakuja sehemu ya kuweka pattern,finger print au pin kutegemea na ulivyoset wakati wa kuhide chats
Screenshot_2018-09-06-10-03-11.png

baada ya kuweka password utaona chats zote ulizohide kama inavyoonekana hapo chini
Screenshot_2018-09-06-10-02-43.png

utabofya + hold chat unayotaka kui-unhide kisha bofya 3 dots upande wa juu kulia kisha uta unhide
Screenshot_2018-09-06-10-32-24.png

i hope mpka hapo somo litakuwa limeeleweka
 

Attachments

  • Screenshot_2018-09-06-10-02-43.png
    Screenshot_2018-09-06-10-02-43.png
    50.9 KB · Views: 71
Back
Top Bottom