Uzi maalum:Kwa wanawake ambao tumewahi kuharibiwa future zetu na wanaume tukutane hapa tufarijiane

Unakunywa wine mama? If yes nikupeleke ubebe yako unayotaka. Umeandika pure point. Mtoa post aache kulaum na kulialia achukue responsibility ya maisha yake.
Wine nyepesi sana kwangu napiga vitu vizito mie..
Binafsi nasikitiswa sana na mtu Kulia lia kwamba kaharibiwa future, kwahyo hayo mahusiano ndo alitegemea future yake inyooke?
Kuzaa ni Moja ya stage katika maisha hauwezi Kua mwenyewe siku zote
 
Kweli hii nchi haiaminiki kabisa, mmeitwa wadada/wamama wa humu wamejitokeza kiduchuuu, hata muanzisha Uzi Karara Mbereee
 
Sahihi kabisa...hatima ya maisha yako ipo mikononi mwako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…