Uzi maalum kwa biologists

Dampa

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
810
Reaction score
1,265
Habari
Mimi ni biologist nimegraduate two years back ,So nimeamua kuanzisha huu uzi ili tuwe tunapeana updates na news about this carrier.
For now mimi nipo nafanya temporary work kwenye industry .
Ningependa hii iwe kama platiform kwa hii carrier.
Karibuni sana tujuane pia hata kwa wengine ambao mko interested au una any info ruksa kutupia
KARIBUNI
 
Chapa ya udom hii..! Njoo pm tutambuane..
 
"Carrier" duh hii mpya kweli itakuwa ya Emirates ndo inabeba mizigo mikubwa
 
"Carrier" duh hii mpya kweli itakuwa ya Emirates ndo inabeba mizigo mikubwa
 
Course nyingine bwana!
hivi mnafanya kazi wapi?
 
Edit basi hiyo "carrier" bwana Biologist.. Au ndo kwamba huko kwenu lugha sio muhimu sana #
 
Hata jina lako nina mashaka nalo sana itakuwa ulimaanisha "dumper" Na sio dampa ulivyoandika kwikwikwikwi!!!
We mazee mbona una mambo ya umama sana We utakuwa manzi mbichi unataka dinywa ww uniwache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…