Uzi maalum kwa ajili ya upotevu

Craig Natson

Member
Jul 3, 2013
80
49
Lengo ni kupata msaada wa kupata Mali/ kitu kilichopotea au kumpata muhusika wa kile kilichookotwa.

Uzi huu utakuwa ni msaada kwa wengi kwani wapo waliookota vitu ambavyo hawana matumizi navyo na hawana namna ya kumpata muhusika/mpotezaji, na wapo wale waliopoteza vitu na hawajui watavipata vipi au hata kufikisha ujumbe kwa mtu ambaye anaweza kuwa amekutana nacho/ameokota.

Mfano: Ukimsaidia mtu kumrejeshea kitambulisho kilichopotea utakuwa umemuokolea kiasi fulani cha fedha na muda ambao angetumia kupata huduma fulani au hata kitambulisho kingine.

Karibuni.
 
Tatizo kuisaidia polisi kueleza ulipokipata kwa mfano kitamburisho ulichookota cha mtu alieibiwa vitu vingi huoni kama inaweza kula kwako.
 
Naona hizi "uzi maalum wa..." zinazidi kutamalaki kila kukicha.
 
Back
Top Bottom