Uzi maalum kwa ajili ya mabadiliko ndani ya Yanga

Unknown2

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,344
4,981
Wakuu, naomba uzi huu uwe maalum kwa ajili ya mabadiliko ndani ya Yanga yani kutoka ktk mfumo tegemezi kwenda ktk mfumo wa hisa.
Ni muda mrefu hakuna hata ukulele kuhusu haya mabadiliko tangu iundwe tume maalum kwa ajili ya kutafiti na kujua thamani halisi ya Yanga wakati tulijua mchakato ungeenda haraka ukizingatia timu yetu iko na hali mbaya kiuchumi..

Karibu mtoe maoni, ushauri, mtazamo hapa hapa pengine viongozi wataona.
 
Mabadiliko hadi atokee mtu mwenye pesa ashinikize ndio watakubali ata wale kina doto sio kama wao ni shinikizo la mwenye pesa ndio wakakubali tunakazi sana sisi kujielewa umuhimu wetu wa kuanzisha jambo
 
Pambaneni na hayo kwa maslahi ya timu yenu badala ya kugawanya nguvu ndogo mliyonayo kuihujumu SIMBA.
 
Mabadiliko hadi atokee mtu mwenye pesa ashinikize ndio watakubali ata wale kina doto sio kama wao ni shinikizo la mwenye pesa ndio wakakubali tunakazi sana sisi kujielewa umuhimu wetu wa kuanzisha jambo
Viongozi wetu nao ni tatizo
 
Back
Top Bottom