Uzi kwa wanaume wote

Mkuu Ni simple tu.
Katoeni mahari ili muwaoe hao wanaume.
Kama unasubiri kuolewa usitegemee hayo unayowaza.
 
Wanawake wa kizazi hiki bhana.
Yaani unasubiri nikutongoze, nikakulipie mahari kwenu.
Unakuja unakuta nimeshajenga nyumba na kila kitu ndani aafu unaanza kutaka 50/50.
Hivi mama zenu wamewaleaje?
Kwenda shule isiwe sababu ya kujiona you need new principles wakati unaishi maisha yaliopo tangu agano la kale.
 
Mkuu Ni simple tu.
Katoeni mahari ili muwaoe hao wanaume.
Kama unasubiri kuolewa usitegemee hayo unayowaza.
Hivi mkuu zile mahari mnazotoa ndo mnafananisha na maisha na majukumu ya kwenye ndoa? Hizo million ngapi sijui ambazo leo hii wanaume wana uwezo wa kuhonga hata makahaba? Hebu acha utani mkuu mbona kabla hamjaoa hela mnazohonga zinazidi hata mahari mnazotoa kwa wake zenu?
 
Na wewe acha kuongelea maisha ya kwenye movie yale ambayo mwanamke anaolewa anakuta mwanaume ana kila kitu siku hizi wanaume wangapi wanaoa wanawake wanakuta wako kwenye vyumba vya kupanga na wanaanza wote maisha?
 
Kama mchumba wako Hana hata kiwanja mkuu, usiolewe naye!!
 
Lengo la kuoa Ni ili uje ufanye kazi za nyumbani.
Kama Ni k hata kwa makahaba naweza kuipata na wengine nikawazalisha na watoto nikawalea.
Yaani kama wewe uwe mke wangu na mm awazo ya kijinga haya unaondoka siku chache tu.!!
 
Kama mchumba wako Hana hata kiwanja mkuu, usiolewe naye!!
Mkuu naona mimi na wewe tunatofautiana kwenye kitu kimoja tu mimi naongelea ndoa ambazo ndo ziko kwenye dunia ya sasa ila wewe unaongelea zile ndoa ambazo kwa sasa zimebaki chache sana kiuhalisia hayo ndo maisha ya siku hizi wanaume wanabweteka kwa kisingizio cha kuwa wanasubiri 'wife material'

Yaani wanawake ambao wanaanza na waume zao kuanzia kwenye umasikini hadi kwenye utajiri na siku hizi hicho ndo kipimo cha kwanza cha mke bora eti anatakiwa awe anaweza kumvumilia mwanaume kwenye umasikini hadi wafanikiwe wote ndo maana nasema wewe unaongelea zile ndoa ambazo kwa dunia ya sasa zimebaki chache kwahiyo unatoka kabisa nje ya uhalisia ndugu
 
Lengo la kuoa Ni ili uje ufanye kazi za nyumbani.
Kama Ni k hata kwa makahaba naweza kuipata na wengine nikawazalisha na watoto nikawalea.
Yaani kama wewe uwe mke wangu na mm awazo ya kijinga haya unaondoka siku chache tu.!!
Na ndo maana binadamu tunatofautiana mitazamo kuna wanawake wana mitazamo kama yako hiyo kwahiyo kama hao ndo mtaendana na kuna wanaume wana mitazamo kama yangu hii kwahiyo kama hao ndo tutaendana

Ila point yangu ni kwamba kama lengo la kuoa kwako wewe ni mke aje afanye kazi za ndani basi hakikisha hafanyi kazi wala biashara yoyote ya kutafuta kipato afanye kazi za ndani tu na wewe uwe unamtimizia mahitaji yake yote hapo kweli mambo yataenda sawa ila tofauti na hapo utakuwa unamtia tu majaribuni mwanamke wa watu
 
Kiongozi, hii staili yetu ni rahisi sana kupasha kipolo kwa sababu watu mnaachana huku mawasiliano yakiwa bado mazuri!! Lakini kila nikivuta kumbukumbu sikumbuki popote nilipowahi kupasha kipolo!!
 
Kiongozi, hii staili yetu ni rahisi sana kupasha kipolo kwa sababu watu mnaachana huku mawasiliano yakiwa bado mazuri!! Lakini kila nikivuta kumbukumbu sikumbuki popote nilipowahi kupasha kipolo!!

mimi mgonjwa wa viporo na ndio mana naconclude hivi, huwez kuniona nagombana na x wangu kizembe zembe, ntaendelea kuwasupport vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…