Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
Mkuu Ni simple tu.Sasa mkuu kwani si ndo nilichosema au? Kwamba kama baba anatafuta pesa na kuhudumia familia peke yake basi hata mama naye afanye kazi za ndani na kulea familia peke yake ila hicho unachosema wewe hakipo kwenye dunia ya sasa kwa sababu
Familia nyingi sasa hivi baba na mama wanatafuta hela na kuhudumia familia 50/50 tena familia nyingine mama ndo kamzidi kipato baba sasa kwenye familia kama hizo kwanini baba naye asisaidie majukumu ya mama? Tatizo ndo hilo wanaume kufanya kazi za ndani huwaga mnaonaje sijui yaani sijui mnahisi mnatabadilika jinsia?
Katoeni mahari ili muwaoe hao wanaume.
Kama unasubiri kuolewa usitegemee hayo unayowaza.