Kwahiyo unashaurije mkuu kwamba kwa sababu ya hivyo ndo mnatakiwa mchepuke na maex wenu au wanawake wengine eti?Ivi jamani mnashindana na wanaume?? Mwanaume hata afanye na wanawake 1000000 maumbile yake hayatobadilika na unaweza ukadhani kuwa hajawahi kufanya kabisa ila mwanamke akifanya na wanaume wawili tu taari athari na maumbile yanajitokeza, SANA SANA ITAKUA AMESHATUMIKA SANA
HahahahaUnataka sababu ipi sasa!?
Namuwakilisha crush wangu
Hahahaha
Swali lipi tena ?Haha bora umefika ujibu swali ilo
Swali lipi tena ?
HahahahaSoma Uzi utaelewa swali
Hahahaha
Unaniachaje sasa ?Haya nakuacha hapo kazi kwako
Unaniachaje sasa ?
Naomba twende wote mpzNakuacha na wanaume wenzio mjadili..kwanini mnapasha viporo
Naomba twende wote mpz
Watajibu wengine, twende tukalale mpzAahh! Usijaribu kukwepa swali hapo..baki hapo mjadili ..mie naenda lala