Uzi kwa waliowaumizwa?

Uzi kwa waliowaumizwa?

Naona umeumizwa huu mwezi mzima unatoa shuhuda tu kutafuta huruma za wale mayaya, haya endelea kutoa sumu🤣
Please msinihisishe na ngija ngija za kitoto basii.. mambo mayaya kaeni nayo wenyewe, nipo hapq kufurahia sio stress. Mie nitafute hurumaa mie ? hivi unanijua au wanisikia nyokooo weweee njoo basi eneo 😁
 
Uandishi wako ni wa hovyo,
Unaandika kama wale wadada wa Tik tok.
Umeanza vizuri,umemaliza hovyo....
Hivi huwa mnakimbilia nini mpaka mnaandika hovyohovyo namna hii
Vyakula na maisha ya kukaa kwa shemeji haviwezi kumuacha mtu salama na bila mawazo.

Mshaurini atoke hapo kwa dada yake atafute kazi afanye mjini hapa
 
Please msinihisishe na ngija ngija za kitoto basii.. mambo mayaya kaeni nayo wenyewe, nipo hapq kufurahia sio stress. Mie nitafute hurumaa mie ? hivi unanijua au wanisikia nyokooo weweee njoo basi eneo 😁
Nakujua ndio, na taarifa zako nimezipata ndio maana nakukanya unakaribia kuchizi unaropoka ropoka tu! kama una stress sema tuzitoe na uache ujinga mxiew!
 
Nakujua ndio, ndio maana nakukanya unakaribia kuchizi unaropoka ropoka tu! kama una stress sema tuzitoe na uache ujinga mxiew!
njoo uzitoe basi 😁😁
za kuambiwa changanya na zako . nipo hapa nina poteza mda ku have funny tu, atae amini nacho andika shauri zakeee šŸ˜…šŸ˜…
 
njoo uzitoe basi 😁😁
za kuambiwa changanya na zako . nipo hapa nina poteza mda ku have funny tu, atae amini nacho andika shauri zakeee šŸ˜…šŸ˜…
wewe nimezipata hivyohivyo we endelea tu! unasabisha maafa na unafuahiaa mwenyewe! we kenua sasa hapo!
 
wewe nimezipata hivyohivyo we endelea tu! unasabisha maafa na unafuahiaa mwenyewe! we kenua sasa hapo!
Unakuja kuzitoa stress šŸ˜…šŸ˜…
Maafa itakuwa wajitakia wenyewe aiseee.. Aiseee
 
Mwanaume hua hatangazi maumivu aliyo yapitia,
Matatizo aliyo yapitia hua anayatumia kama funzo,

Akiwa na matatizo hukabiliana nayo,huo ndio uanaume.
 
Naona umeumizwa huu mwezi mzima unatoa shuhuda tu kutafuta huruma za wale mayaya, haya endelea kutoa sumu🤣
Huwa nawaambia wanafunzi wangu. Siri ya kupata mke/mme ni very simple tu kuwa wa thamani kwa kiasi ambacho mtu akikuona hawezi kukuacha. That's it. Umbo na uzuri vina sehemu ndogo sana kwenye kuoa au kuolewa.
 
what does that have to do with me?
 
hao wanafunzi wako wanaotaka kuoa ni mimi?
That msg was universal, it applies to every single soul that is searching for a soulmate.

Case closed
I am welcoming neither questions nor comments.
 
That msg was universal, it applies to every single soul that is searching for a soulmate.

Case closed
I am welcoming neither questions nor comments.
Why did you quote me instead of just writing it as a comment if you didn’t want questions?

Akili zingine bana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom