Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,950
😜 weeeh!! Kumbe?!!Haha unafikiri chino ni boya kumganda mtu kama ruba?
Anajua yaliyomo yamo kweli
😜 weeeh!! Kumbe?!!Haha unafikiri chino ni boya kumganda mtu kama ruba?
Anajua yaliyomo yamo kweli
Nimecheka Sana’a 😂😂😂bila shaka unanifatilia😂😂eti anasema mimi mke wa mtu,, imebidi niishi nae ivo ivo ili twende sambamba,,eti nanuka kishundu na hii flat sasa angejua 🤣🤣
Nivione 🍒 kwanza ndo niogope 😂😂😂wee huogopiii?
Asa boxer nayo inahitaji Wife...Badilisheni boxer izo mkiinama zinatia kinyaa
mimi hata aje mtu na akili gani lazima niende nae sawa,,akisema mm bibi naenda kibibi😌😌😂😂Nimecheka Sana’a 😂😂😂
hata sio jirani ni road uko,,ila mbona kuna wanaume wamechangia hum haifuliwi boxer 🙄Asa boxer nayo inahitaji Wife...
Hao Jirani zako wachafu tu..
Ptuuu
Wote mlikutana mmevurugwa na maisha 😂mimi hata aje mtu na akili gani lazima niende nae sawa,,akisema mm bibi naenda kibibi😌😌😂😂
mimi sikuvurugwa ata ,ila niliona huyu lazima ni bachelor sio kwa hasira zile😂😂Wote mlikutana mmevurugwa na maisha 😂
Nani kakuchamba?? 😂😂😂mimi sikuvurugwa ata ,ila niliona huyu lazima ni bachelor sio kwa hasira zile😂😂
kwanza tuache mwenzio nmechambwa leo kua naharibu nyuzi za watu kwa kutoka nje ya mada
nilimwe ban mimi😂😂 napenda sana vituko vya humu,,Nani kakuchamba?? 😂😂😂
Kwani we mgeni humu?? Nawe ungewachamba, km mbwai mbwai
Unaogopa ban? 😂😂😂nilimwe ban mimi😂😂 napenda sana vituko vya humu,,
ivi Kwan mm nawewe n bachelors,,tutoke
naogopa mihe😂😂nije pewa ya mweziUnaogopa ban? 😂😂😂
Mi kote nipo bachelor na married inategemea nimeamka na mood gani??
Wachambe acha uoga, wasikupande kichwani buana 😂😂😂😂naogopa mihe😂😂nije pewa ya mwezi
siku nikipandwa kichwan mbona utajua 😂😂bado sana,,, bachelorWachambe acha uoga, wasikupande kichwani buana 😂😂😂😂
Hakunaga mshangazi msela msela hivMshangazi OG mama la mama
Uniite nikusaidie kukupa mawe uwapopoe nayo wifi 😂😂😂siku nikipandwa kichwan mbona utajua 😂😂bado sana,,, bachelor