Uzembe Wako Ndio Umasikini wako

Uzembe Wako Ndio Umasikini wako

Daspaul

Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Habari ndugu zangu wana JF,
Leo nataka tu mjue kuwa hakuna mtu yeyote apataye Mafanikio kupitia lelemama na Uzembe.

Kujituma ndio siri ya mafanikio, Mtu mvivu/mzembe anatengeneza umasikini for the rest of his life... Ukiwa muwajibikaji hutojutia maisha unayoishi coz mafanikio huja yanapotafutwa sio kukaa na kusubiri kizembe....

#tukunyema
 
Back
Top Bottom