Uzembe wa waalimu Kainam Rhotia

Uzembe wa waalimu Kainam Rhotia

Joined
Jan 17, 2016
Posts
24
Reaction score
23
Habari wadau,kainam rhotia ni miongoni mwa shule za kata zilizojengwa kwa nguvu za wananchi,shule hii ina wanafunzi kama mia moja HV,imekidhiri kwa uzembe wa waalimu akiwamo mkuu wa shule,pia matumizi mabaya ya rasilimali za umma na pia waalimu katika shule hii hawafundishi kabisa hawaingii madarasani kabsa,tunaomba mamlaka husika zichukue hatua kunusura watoto wetu.yafuatayo ni matokeo ya form 4 2015 ya shule hiyo
DIV-I = 0; DIV-II = 0; DIV-III = 1; DIV-IV = 10; DIV-0 = 18
 
Back
Top Bottom