fire and fury
Member
- Jan 8, 2018
- 12
- 3
Siku ya pili leo waya zimekatika kwenye line ya kutoka Hindu hospital kwenda Bugando Hospital hapa Mwanza.
Nyaya
zinaning’inia na kuhatarisha maisha.
Cha kushangaza gari la Tanesco emergency linapita maeneo hayo hayo. Ukiwauliza wanasema hawana taarifa rasmi.
Ukipiga simu ya emergency unaambiwa wana taarifa wanashughulikia.
Hakuna kinachofanyika mpaka maafa yatakapotokea.