Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Pole sana Mkuu! Your observation is very true. shida kubwa ktk hii TZ yetu ni kwamba watu (viongozi) wamejiwekea mfumo usio rasmi wa kuwa reactive tu na sio kuwa proactive kwa makusudi ili kujinufaisha wao na familia zao. Just look around its every where, umeme, elimu mabomu you name it! Utasikia kina cha maji Mtera kimeshuka etc, etc
Hiyo ndiyo fire brigade au ni dharura tu? Ka ni fire basi kuna haja ya kutafuta uhuru wa tanganyika kwani mkoloni bado yupo na anachuma na kwenda kuwekeza kwao.
Najiuliza kila siku hii ccm ni chama cha nchi gani kilichokuja kutawala tz?
Kinachuma na kupeleka kwao.