Uzeeni ni heri uwe na mzigo wako wa kutosha unaukata taratibu au uwekeze kwenye biashara usubiri faida ?

Uzeeni ni heri uwe na mzigo wako wa kutosha unaukata taratibu au uwekeze kwenye biashara usubiri faida ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,447
walengwa wakiwa ni waajiriwa zaidi.

Uzeeni ni bora uwe na mzigo wa kutosha unaukata taratibu (Unaweza kuwa na vibiashara vidogo ili usikae sana ndani)

Au

ufungue biashara uwe unasubiria faida
 
Mwisho wa kutafuta hela ni pale utakapovuta pumzi ya mwisho. Kinyume na hapo hakuna cha uzee wala nini.
 
Back
Top Bottom