Uzee sasa basi, wamerekani wagundua dawa

Uzee sasa basi, wamerekani wagundua dawa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,741
Reaction score
861,148
Baada ya kufanya majaribio kadhaa yenye mafanikio kwa kuwawekea panya wazee damu ya panya wadogo, na hali ya uzee kuondoka, wamerekani wako tayari muda wowote kuanzia sasa kufanya majaribio hayo kwa binadamu. chanzo; BBC
 
Mmmmh bora nipite niwaache wasiotaka kuzeeka. 👮
 
Uzee ni faraja lakini pia walitakiwa kupata dawa ya kifo ili forever young iendelee maana kuwa huzeeki lakini kifo kipo sio ufumbuzi
 
kuishi duniani miaka nenda rudi kutaboa - mimi naona mfumo huu wa uzee kisha kufa unafaa!!
 
Dah bora nizeeke tu,kuliko kutumia TECHNO zao zinazochochewa na free............
 
Na umri unarudishwa nyuma au?
 
Baada ya kufanya majaribio kadhaa yenye mafanikio kwa kuwawekea panya wazee damu ya panya wadogo, na hali ya uzee kuondoka, wamerekani wako tayari muda wowote kuanzia sasa kufanya majaribio hayo kwa binadamu. chanzo; BBC

Mh I doubt that
 
Tatizo utasikia ili ifanye kazi vizuri, inabidi uanze kuitumia ukiwa na miaka 15 wakati watu tushagonga 15 long time!!! Sema dah, uzee noma, mi nitainunua hiyo dawa!
 
baada ya kufanya majaribio kadhaa yenye mafanikio kwa kuwawekea panya wazee damu ya panya wadogo, na hali ya uzee kuondoka, wamerekani wako tayari muda wowote kuanzia sasa kufanya majaribio hayo kwa binadamu. Chanzo; bbc

wamarekani
 
labda waisimamishe dunia isilizunguke jua,itakuwa dawa ya kuact kwenye physical apperance tu.je moyo,figo,ini,mapafu,na viungo ya mfumo wa ndani inakuwaje?hakuna lolote
 
labda waisimamishe dunia isilizunguke jua,itakuwa dawa ya kuact kwenye physical apperance tu.je moyo,figo,ini,mapafu,na viungo ya mfumo wa ndani inakuwaje?hakuna lolote

Mnhh labda hii ita work
 
Back
Top Bottom