Uzee sasa basi, wamerekani wagundua dawa

Uzee sasa basi, wamerekani wagundua dawa

damu ya madogo wataitoa wapi..

Hilo ndilo swali langu hata mimi. Iwapo ili mtu apate dawa ya kutokuzeeka lazima awekewe dawa ya mtoto, je itabidi watoto wawe wanazalishwa kwa wingi ili wawe wanakaushwa damu wapewe wasiotaka kuzeeka????!!!!
 
Baada ya kufanya majaribio kadhaa yenye mafanikio kwa kuwawekea panya wazee damu ya panya wadogo, na hali ya uzee kuondoka, wamerekani wako tayari muda wowote kuanzia sasa kufanya majaribio hayo kwa binadamu. chanzo; BBC

Kwani hakuna wazee walio donatiwa damu na watoto wao lakini hakurudi kwenye ujana wala nini..
 
ni kumkufuru mungu tu hiyo

ukipata lishe bora hususani mbogamboga,matunda kufanya mazoezina kufuata mfumo mzuri wa maisha inachangia kwa kiasi kikubwa kutozeesha mwili je nako ni kumkufuru mungu??
 
Siku watakapogundua dawa inayotibu Ngoma kwa kuua na kuwamaliza kabisa virusi mwilini ndani ya wiki au hata mwezi mmoja tu ndo ntaelewa kwamba hawa jamaa kweli ni noma
 
kwa nini wasianze kugundua dawa ya ukimwi kwanza ambayo imemaliza ndugu zetu na inazidi kumaliza, kuliko kuondoa uzee wa ngozi ilhali viungo vya ndani bado vimechoka, means unakuwa binti usoni lakini unatembelea mkongojo sasa italeta maana gani
 
Duh! mbona ndege ya malaysia imewashinda kugundua ilipo? wanafki hao!!!
 
Majaribio kwa binadamu itakuwa Tanganyika. Kwa HISANI ya watu wa Marekani.
 
kuishi duniani miaka nenda rudi kutaboa - mimi naona mfumo huu wa uzee kisha kufa unafaa!!

Mkuu wewe unazungumza tu! Hakuna asiyeogopa kifo hata awe mzee kiasi gani.
 
Mi nadhani heading ilitakiwa isomeke 'uzee mwisho Chalinze wamarekani wagundua dawa'
 
Na wataanzia nchi za Afrika na Tanzania ni ya kwanza kwa kuwa ni shamba la bibi la majaribio!!!!
 
Kwani hakuna wazee walio donatiwa damu na watoto wao lakini hakurudi kwenye ujana wala nini..

Yuko mzee mmoja Tanzania tajiri sana asie na wajukuu mwenye kupenda dogodogo mwenye kumiliki vyombo........ akisikia hii habari jioni anakodi ndege na kwenda kuinunua hata kama haijaingia sokoni. nimtaje nisimtaje ?
 
Yaani TZ kuna viongozi wazee ambao ukiwaambia kuingia uvinza ni dawa ya uzee wataingia bila soni.
Kuna yule wa bariadi.. hana mvi hadi leo. Kuna yule wa Ingiza Pole Pole nae hana mvi. kuna yule kichwa kama Tassi. mpenda uongozi. kuna yule uso kama bundi mwenye mtt anaeuza sembe. kuna yule anaependa mabibi lkn hakua fisadi waqt wa uongozi wake ila pombe na totoz. list ni ndefu
 
Back
Top Bottom