una majungu kama nini
alokuuliza yote hayo ni nani?
pole sana lol, ila utampata tu ucjali, yawezejana akatokea humu humu. Hahaaaaaa
mi sijawahi kuitwa bebi jamani
nitapata wapi wa kuniita lol
Ooh my baby Passion Lady unajua ninavyo kuita akanana ni zaidi ya hiyo baby?
Oooooh let me call you baby,baby,baby,baby,baby,baby!
una majungu kama nini
alokuuliza yote hayo ni nani?