Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.

Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.

Ulimwengu na Ndugai
View attachment 2007881
Jeneral yupo fiti sana, vijana wa Mwalimu nyerere hawa...

Jamaa anashindwa kumjibu kwa hoja anatishia kumpelekea ma police...mwendazake hatuharibia sana nchi yetu, kaasisi utemi wa kijinga kijinga
 
Lkn utakuta mwisho wao hao watemi na wafanya ubaya wanakatika kama mipapai
 
Jeneral yupo fiti sana, vijana wa Mwalimu nyerere hawa...

Jamaa anashindwa kumjibu kwa hoja anatishia kumpelekea ma police...mwendazake hatuharibia sana nchi yetu, kaasisi utemi wa kijinga kijinga
20211112_113427.jpg
 
Ndio maana Nyerere alikataa haya mambo ya kuhoji hoji uraia wa watu kwani ukichunguza sana hayo unaweza ukakuta Mkapa alikuwa ni wa Msumbiji na Magufuli ndio kabisaa Mnyarwanda na Kinana Msomali piwa.

Nchi hii watu ni wanafiki sana, halafu majuzi tu kuna kijana eti anapewa uraia kirahisi tu kisa eti ni mchezaji wa mpira na wakati hata mpira wowote wa maana hana..!!
Mkuru baba! angalia upande mwingine wa shillingi!!! Nyerere wako huyohuyo .....huyohuyo!! aliwahi sema ''mvunja nchi ni mwananchi mwenyewe, na hkn adui mbaya km ndugu... na hii ni tangu zama!! ''Mfano kibiblia zaidi ni nduguze yusufu,

haya juzi juzihapa kwetu ni kambona, Idd Amini! Mobutu, yaani wengi tu! Nkwame Nkrumaha aliumia sababu ya kusalitiwa na ndugu zake,wa nje weusi wenzake wakamsetiri! Mengistu alihifadhiwa na Mugabe mpaka kesho anaishi!

km haitoshi huyo huyo nyerere!! unakumbuka hotuba yake ileee ya hadithi ya Mama Miti......namnukuu....'' watoto miti!! walimlilia Mama yao!! mama weeee twafaaa huku!......(jua tu hapo ni watu walipita na Mashoka!)

Mama yake akajibu; ndg zenu wamoooo......wakajibu; hawamo!! basi tulieni ivoivo! yaani kifupi ni kwamba Bila adui wa ndani kuhusika! (ambae ni ndugu!) Adui wa nje hawezi fanya kitu kamwe!!

Nchi hii watu si wanafiki km unavo dhania, bali ni waangalifu! wanajua kazi zao, kupewa uraia!! sharti tukuchunguze history back ground yako! (ikibidi tukupigie Bao kabisaaa! hii ndo maana tunapenda wazee wa Dar)

kumbuka hao ni ndg zetu na Africa ni moja!! adui hana Rangi!, vile vile mtu mwema hana rangi, lkn pia huyuhyu! japo aweza badilika pia! ndo maana tuko macho na afisa usalama!

Waweza kuta hao hao wakuja!! wakawa wema na wa msaada zaidi kwa watanzania wote na Dunia nzima! kuliko mtanzania kindaki ndaki anae weza kuiuza nchi yake dakika sifuri km Yasin said Memba!! kwa bei rahisi tu!

Mfano wa mgeni mzuri mwenye manufaa ni ugeni ulee wa Mazimbu, ANC wakimbizi walikuwa ni msaada sana kwa TZ yetu! miaka hiyoooo! bila hawa jamaa wageni! wetu!! kutuuma sikio tungeumia sana!tena sana sijakosea!

Nacho sema hapa angalia kwanza mgeni na mgeni ni mgeni...nani??...wapi??...lini??? ...kwanini???? cha msingi tusishoboke si unamjua Amir Jamal weye? enheee! km huyo!!
 
Halafu akishatamka inakusaidia nini?wanaokuuza huwaona mpaka yeye aje akuuze mara ya pili?
Akitamka inaisaidia ...nakuwa salama, na amani zaidi, zaidi!! wanao niuza wapo na nawajua!! na dawa yao ipo!! ila hii hainifanyi kamwe nisim-wazie kuwa yeye kuwa siyo mmoja wao hao! ! kama wewe!! kadawa kapo kazuri tu!!
 
Cheki hapa chini namna ambavyo MRUNDI amekuwa akitumiwa na taifa lako wakati nyie Watz (akina Ndugai mpo)View attachment 2008205View attachment 2008206View attachment 2008207View attachment 2008208View attachment 2008209
Halafu wewe Mkuu bana!!! sijui ndo Generali Mwenyewe wewe??? yaani wewe kwenda kubwabwaja paleee UNO kwa hela yetu ndo umetusaidia??? Badala ya kutushukuru umepata exposure kupitia kodi za Babu zetu unatukejeli eti umetusaidia!! wewe? kuwa serious bana?... vinginevo utakuwa Mrundi kweli!!

eti umetusaidia kwa Elimu uliyopata kwetu Bure, majengo yetu, walimu wtu!!! Nauli yetu, bure!!! hukuwa na hela ya kwenda UNO wewe!!! kataa!! afadhali hataMchonga yeye Babake alikuwa Chief wa Butiama pale angewaza pata hiyo hela! kwa wananchi wa Butiama wanakamuliwa tu kodi!

Sasa huyu kwanza angekaa kimya tu!! utushukuru!! amekuta Tanzania Huru!! akala matunda ya uhuru bure! sasa kukaa tu na Machel ilitusaidia nini sisi!! Sioni huyu kukamata Bunduki km wakurya nenda mstari wa mbele ufe wewe au upone km Nyerere!! sioni!!!

heri mara mia hawa madogo kwa uchache komandoo!Tito okello, Ujwuku, Mahafudhi waalishiriki ktk kuikomboa Africa/Msumbiji! kiukweli wafe wao au Mkoloni ang'oke!! na waliyo yafanya tunayajua mpaka kesho Mungu awalaze mahali pema peponi!! Ameeni

Ebu kuwa serious Bana ''sasa huyu eti kupiga umbea baraza la usalama UNO! Ndo umesacrify maisha yako ajili yetu serously?? ya ukweli hayo?? ndo alivo kudanganya!! sasa ebu jiulize swali rahisi tu!! aliandaliwa na nani ku deliver speech hiyo pale Baraza la usalama?

Jibu rahisi tu ni waalimu wazuri wa Tanzania huru chini ya Mwalimu julius .......weeee!! usinifanye nilie wewe mzee!!! Ulimwengu unapaswa kushukuru Bongo! Kodi za babu zetu ulifika UNO! acha masimango!

kina Ndugai kukupa kipao umbele ''na huyu mkimbizi muacheni jamani asonge!! akapate uzoefu akawakomboe ndugu zake!! akasema ''kiukweli jamani sisi Bongo kwa sasa tuko vizuri!'''! tukiamni baada ya shule utarudi kwenu baada ya kuiva!!!

huyo umeganda mpaka leo! Ok! tumekuacha sasa unatukoga! eti tupicha twa kubwabwaja General Assembly!! kwa wema wetu! kwani hotel, Nauli, nguo,chakula, malazi in general ulipewa bure huko? hapo bado hujanishawishi kuwa umefanya kitu ila ni sisi hao!

sasa jamani leo unasema hivi kweli umesahau? nafasi wende weye Mrundi unawaona waliokuachia nafasi iyo, fursa, pesa majiiinga ya mwisho! ...mbona sisi Bongo tumewapa wengi tu!! kabila joseph! Mandela, Mseven! mwee na wengine weeengi tu!

Tuli tii Maamuzi yetu ya OAU kwa vitendo ikiwa ni pamoja na kuwasaidia watu km nyie!! kuuumbe sasa nimejua kuwa ndo maana teuzi nyingi sana ulitemwa!!

sasa unalia lia na vipicha vya UNO tena kwa hela zetu hizo tulizo kupa ukatanulie! inaonyesha ulitumia pesa vibaya na show off!! labda ufe mapema nikikamata mie unazilipa!! hizo fweza siyo za Rwanda wala Burundi! bali ni jasho letu!

km mie muongo sema hapa hapa wote wakusikie hela za kwenda huko G/assembly ulizitoa wapi!! na umaskini kunuka ule?! wa ukimbizini??

Ama kweli... wema ....u..inga!! wahenga walisema nimeamini!! wewe Jenerali wakutusema hivi leo!!baada ya shibe? na heshima ya bure?? haya mapicha yako ungeficha tu! inaonyesha jinsi ulivokuwa Lifist penye hatare,

wakati Babu zetu wana tokwa jasho la Damu katka Ukombozi wa Bara la AFRICA, weye unatukejeli na tupicha twa UNO??!! ningefurahi na kukuona bingwa km ungeonekana umepigwa risasi na kaburu ukapona kibabe!! au basi

ukaponea chupu chupu hapo sawa sasa!!! weye kule Msumbiji ulienda uza sura tu! kwenye uwanja wa mapambano??? hata kovu ya risasi hunaa! teeetetetet!!!! eti unataka tukujali mweee!! Musoma wanaume hoyeeeee!!

huna umesahau ulivo kuwa unapita na kopo pale ngara karibu na uwanja wa ndege?? ........ndipo mlipofikia na mkaishi hapo ukaanza shule !! uongo? Ok! Baba nyerere wa Musoma kakupa Elimu bureeeee! basi heshimu tuu! hutaki!! mie kwanza sioni njoo na mengine!!

Kwanza Mtukura ulienda kukamata mtutu weye? Zimbabwe, usheli sheli, Ngazija, zambia, angola, South wewe ulienda kamata mtutu huko?!! hao ndo wanume ngangari!! onyesha Makovu hapa! siyo hizo one man show!!!
 
Mkuru baba! angalia upande mwingine wa shillingi!!! Nyerere wako huyohuyo .....huyohuyo!! aliwahi sema ''mvunja nchi ni mwananchi mwenyewe, na hkn adui mbaya km ndugu... na hii ni tangu zama!! ''Mfano kibiblia zaidi ni nduguze yusufu,

haya juzi juzihapa kwetu ni kambona, Idd Amini! Mobutu, yaani wengi tu! Nkwame Nkrumaha aliumia sababu ya kusalitiwa na ndugu zake,wa nje weusi wenzake wakamsetiri! Mengistu alihifadhiwa na Mugabe mpaka kesho anaishi!

km haitoshi huyo huyo nyerere!! unakumbuka hotuba yake ileee ya hadithi ya Mama Miti......namnukuu....'' watoto miti!! walimlilia Mama yao!! mama weeee twafaaa huku!......(jua tu hapo ni watu walipita na Mashoka!)

Mama yake akajibu; ndg zenu wamoooo......wakajibu; hawamo!! basi tulieni ivoivo! yaani kifupi ni kwamba Bila adui wa ndani kuhusika! (ambae ni ndugu!) Adui wa nje hawezi fanya kitu kamwe!!

Nchi hii watu si wanafiki km unavo dhania, bali ni waangalifu! wanajua kazi zao, kupewa uraia!! sharti tukuchunguze history back ground yako! (ikibidi tukupigie Bao kabisaaa! hii ndo maana tunapenda wazee wa Dar)

kumbuka hao ni ndg zetu na Africa ni moja!! adui hana Rangi!, vile vile mtu mwema hana rangi, lkn pia huyuhyu! japo aweza badilika pia! ndo maana tuko macho na afisa usalama!

Waweza kuta hao hao wakuja!! wakawa wema na wa msaada zaidi kwa watanzania wote na Dunia nzima! kuliko mtanzania kindaki ndaki anae weza kuiuza nchi yake dakika sifuri km Yasin said Memba!! kwa bei rahisi tu!

Mfano wa mgeni mzuri mwenye manufaa ni ugeni ulee wa Mazimbu, ANC wakimbizi walikuwa ni msaada sana kwa TZ yetu! miaka hiyoooo! bila hawa jamaa wageni! wetu!! kutuuma sikio tungeumia sana!tena sana sijakosea!

Nacho sema hapa angalia kwanza mgeni na mgeni ni mgeni...nani??...wapi??...lini??? ...kwanini???? cha msingi tusishoboke si unamjua Amir Jamal weye? enheee! km huyo!!
Hata hueleweki, unaandika kiutani utani sana. You're not serious.
 
Halafu wewe Mkuu bana!!! sijui ndo Generali Mwenyewe wewe??? yaani wewe kwenda kubwabwaja paleee UNO kwa hela yetu ndo umetusaidia??? Badala ya kutushukuru umepata exposure kupitia kodi za Babu zetu unatukejeli eti umetusaidia!! wewe? kuwa serious bana?... vinginevo utakuwa Mrundi kweli!!

eti umetusaidia kwa Elimu uliyopata kwetu Bure, majengo yetu, walimu wtu!!! Nauli yetu, bure!!! hukuwa na hela ya kwenda UNO wewe!!! kataa!! afadhali hataMchonga yeye Babake alikuwa Chief wa Butiama pale angewaza pata hiyo hela! kwa wananchi wa Butiama wanakamuliwa tu kodi!

Sasa huyu kwanza angekaa kimya tu!! utushukuru!! amekuta Tanzania Huru!! akala matunda ya uhuru bure! sasa kukaa tu na Machel ilitusaidia nini sisi!! Sioni huyu kukamata Bunduki km wakurya nenda mstari wa mbele ufe wewe au upone km Nyerere!! sioni!!!

heri mara mia hawa madogo kwa uchache komandoo!Tito okello, Ujwuku, Mahafudhi waalishiriki ktk kuikomboa Africa/Msumbiji! kiukweli wafe wao au Mkoloni ang'oke!! na waliyo yafanya tunayajua mpaka kesho Mungu awalaze mahali pema peponi!! Ameeni

Ebu kuwa serious Bana ''sasa huyu eti kupiga umbea baraza la usalama UNO! Ndo umesacrify maisha yako ajili yetu serously?? ya ukweli hayo?? ndo alivo kudanganya!! sasa ebu jiulize swali rahisi tu!! aliandaliwa na nani ku deliver speech hiyo pale Baraza la usalama?

Jibu rahisi tu ni waalimu wazuri wa Tanzania huru chini ya Mwalimu julius .......weeee!! usinifanye nilie wewe mzee!!! Ulimwengu unapaswa kushukuru Bongo! Kodi za babu zetu ulifika UNO! acha masimango!

kina Ndugai kukupa kipao umbele ''na huyu mkimbizi muacheni jamani asonge!! akapate uzoefu akawakomboe ndugu zake!! akasema ''kiukweli jamani sisi Bongo kwa sasa tuko vizuri!'''! tukiamni baada ya shule utarudi kwenu baada ya kuiva!!!

huyo umeganda mpaka leo! Ok! tumekuacha sasa unatukoga! eti tupicha twa kubwabwaja General Assembly!! kwa wema wetu! kwani hotel, Nauli, nguo,chakula, malazi in general ulipewa bure huko? hapo bado hujanishawishi kuwa umefanya kitu ila ni sisi hao!

sasa jamani leo unasema hivi kweli umesahau? nafasi wende weye Mrundi unawaona waliokuachia nafasi iyo, fursa, pesa majiiinga ya mwisho! ...mbona sisi Bongo tumewapa wengi tu!! kabila joseph! Mandela, Mseven! mwee na wengine weeengi tu!

Tuli tii Maamuzi yetu ya OAU kwa vitendo ikiwa ni pamoja na kuwasaidia watu km nyie!! kuuumbe sasa nimejua kuwa ndo maana teuzi nyingi sana ulitemwa!!

sasa unalia lia na vipicha vya UNO tena kwa hela zetu hizo tulizo kupa ukatanulie! inaonyesha ulitumia pesa vibaya na show off!! labda ufe mapema nikikamata mie unazilipa!! hizo fweza siyo za Rwanda wala Burundi! bali ni jasho letu!

km mie muongo sema hapa hapa wote wakusikie hela za kwenda huko G/assembly ulizitoa wapi!! na umaskini kunuka ule?! wa ukimbizini??

Ama kweli... wema ....u..inga!! wahenga walisema nimeamini!! wewe Jenerali wakutusema hivi leo!!baada ya shibe? na heshima ya bure?? haya mapicha yako ungeficha tu! inaonyesha jinsi ulivokuwa Lifist penye hatare,

wakati Babu zetu wana tokwa jasho la Damu katka Ukombozi wa Bara la AFRICA, weye unatukejeli na tupicha twa UNO??!! ningefurahi na kukuona bingwa km ungeonekana umepigwa risasi na kaburu ukapona kibabe!! au basi

ukaponea chupu chupu hapo sawa sasa!!! weye kule Msumbiji ulienda uza sura tu! kwenye uwanja wa mapambano??? hata kovu ya risasi hunaa! teeetetetet!!!! eti unataka tukujali mweee!! Musoma wanaume hoyeeeee!!

huna umesahau ulivo kuwa unapita na kopo pale ngara karibu na uwanja wa ndege?? ........ndipo mlipofikia na mkaishi hapo ukaanza shule !! uongo? Ok! Baba nyerere wa Musoma kakupa Elimu bureeeee! basi heshimu tuu! hutaki!! mie kwanza sioni njoo na mengine!!

Kwanza Mtukura ulienda kukamata mtutu weye? Zimbabwe, usheli sheli, Ngazija, zambia, angola, South wewe ulienda kamata mtutu huko?!! hao ndo wanume ngangari!! onyesha Makovu hapa! siyo hizo one man show!!!
Huyu ndio ndugai sasa
 
Hata hueleweki, unaandika kiutani utani sana. You're not serious.
Ni kweli uko sahihi! simple figure! utamuelewaje top Idealistic Man?? hiii yako ni hoja rahisi v/s hoja ngumu Mkuu! uki-respond/hoji Tata nyarusare ujipange mzee! uliza kooote wananijua! ... idealistic Figure!!! sababu mie najua kuwa najua!!! na

Kujua kuwa wajua si dhambi! ni kuwa umejua, It's mine Men!! no body can take it away from me ok! si bahatishi!! wala sijidai, ndo nilivo tanguuuuu! zama damu!!!

Usikurupuke tena na vi-hoja dhaifu, ukiongea na wenye akili Mingi!! ukinyamaza hkn atakae kudharau!! unasikia??? ..... ndo maana nafaa kuwa Rais/ UNO General secretary wenu!! uliza popote Africa hii!! wananiombea wengi tu kuwa niwe! sijui unasubiri nini weye?

wadada ndo usiseme utasikia ''Tata nyaru... gombea bana, utuokoe!!'' ngoja nikuwekee kapicha kwanza!...ndo ujue mimi ndimi......
 
Huyu ndio ndugai sasa
Aonyeshe Makovu bana!! ???mwambie????? huko kwenda kuongea na Samora ktk uwanja wa mapambano!! si allilindwa na wajeda wakurya babu zetu! Watanzania! anapaswa kuwashukuru!! sura nzuuuuri ile!! imenyooka! mpambanaji gani yule?? hana kovu hata moja??? mweee!!
 
Mzee Ulimwengu huwa ana Hoja, hafu huwa ana Maneno flani yanakera kwa baadhi ya watu!
Matusi flani hivi ya rejareja.... Huwa namuelewa.
 
Unaweza kulinganisha uwezo wa utendaji wa mzee Ulimwengu na kiongozi gani ndani ya ccm?
Dah....duh....nadhani humfahamu huyo Ulimwengu...unachofahami ni maandishi yake lakini siyo yeye...
 
Back
Top Bottom