Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,951
- 33,806
Huyu Jussa anavituko afanye arudi kwao Oman,wenye Zanzibar tunawajua.yani ni sawa na wale walowezi wa South Africa kutoka uholanzi waanze kuwapangia Wasaizi namna gani ya kuishi.
Muungano sehemu yoyote ni muhimu akina U.S.A,China,Russia India pamoja na ukubwa wa Nchi zao bado wanataka maeneo wewe hutaki Muungano.Muungano ulikuwa na umuhimu kwenye miaka ya 60 sio sasa
Ni muda wa tanganyika kuvunja huu udanganyifu hawa wapemba waliyokwapua ardhi yetu kwa mahekari warudi kwao
Kila siku kelele tu simuuvunje huo muungano wenyewe sijawahi ona Hata faida yake kwanza,muondoke mtuachie nchi yetu!!! #Mungu ibariki Tanganyika!
Muungano sehemu yoyote ni muhimu akina U.S.A,China,Russia India pamoja na ukubwa wa Nchi zao bado wanataka maeneo wewe hutaki Muungano.
Huyu Jussa anavituko afanye arudi kwao Oman,wenye Zanzibar tunawajua.yani ni sawa na wale walowezi wa South Africa kutoka uholanzi waanze kuwapangia Wasaizi namna gani ya kuishi.
Kwanza wewe ismail jussa sio mzanzibari ila muhindi tu. Sijui nia yako kuihamisha zanzibar india au uarabuni? Hadi umezeeka unalia na zanzibar huru umeshindwa kukubali wazanzibari karibu wote asili yao tanganyika. Ni wandengereko, wamakonde, wazigua, wadigo, wazaramo, wamatumbi. Wee piga kelele tu hadi mwisho. Mwenzako maalimu seif kapiga kelele hadi mwisho😆😆😂
Mbona wachina wamejazana kibao na bakora wanakupigeni na njaa zenu, imekua nongwa mzanzibari kuwepo tanganyika?Jamaa chakwao chakwao juzi kati nilikuwa moro ndani ndani huko kwenye mashamba ya mpunga wamejazana kibao wananunua matani na matani ya mchele wala hamna anae wagasi sasa nenda kwao uone.
Kwa hiyo hilo jambazi ni Tanganyika au ni Zanzibar? Kwangu mimi naona huyo jambazi ni Zanzibar! Na hivyo anatakiwa kuondoka kwenye huu Muungano.Hivi kama jambazi lenye silaha likivamia nyumbani kwako, kati yako wewe mwenye nyumba na hilo jambazi ni yupi amefanya makosa na ni yupi anatakiwa kuondoka?
Wachina gani hao wanao tuchapa hizo bakora? Halafu ni nani aliyekuambia Watanganyika tuna njaa? Nyinyi watu mna shida sana.Mbona wachina wamejazana kibao na bakora wanakupigeni na njaa zenu, imekua nongwa mzanzibari kuwepo tanganyika?