Mie sikua nafuatilia. Mara moja moja naangalia ila naelewa. Kuhusu Gxbashe aliyepo jela Pretoria, alimuagiza mwanasheria wake ampeleke mkewe wakaonane. Ila gia imebadilika angani baada ya jamaa huyu mpya (sijui jina lake) anayetoka na MacNgobo mke wa Gxbashe, kufanya njama na mwanasheria ionekane Gxbashe anataka divorce na kwamba amesha sign divorce papers. Zote njama za huyu sponsor mpya wa MacNgobo.