Naona nombuso atafanya ayanda arudi kanisani πππ
Ayanda dizaini flani Kama vile alipagawa Sana baada ya yule binti kuja maskani kwao by the way msela akimuacha yule binti[nkule] itakua ni ujinga Sana.hahaha kabisa nasubiri iyo siku maana sio kwa kashfa zile za ayanda kwenye ile kwayaπ
Nkule anampenda sana ayanda mkuuAyanda dizaini flani Kama vile alipagawa Sana baada ya yule binti kuja maskani kwao by the way msela akimuacha yule binti[nkule] itakua ni ujinga Sana.
pastor mwenyewe...πmzee wa mikunjo our Own.. View attachment 1831307
naona kampania xulu sasa watamkamata vipi ikiwa na yeye kaamua kuendesha biashara legally?pastor mwenyewe...π
apo sasa ndo kisanga...nataka nione itakuaje ingali hawakua na uthibitisho wowote huko nyuma.naona kampania xulu sasa watamkamata vipi ikiwa na yeye kaamua kuendesha biashara legally?
pastor nae anaboa tu angeachana na mambo hayo maana anapoelekea itakuja kumkost.pastor saizi kaanza kuwa miyeyusho
Mpango uliobaki ni pastor kumchoma mastermind akamatwe abinywe ataje yote kumkamata xulu.
Sasa anajifanya eti ohh dada zake master wataishije?
Muda mwengine watu wa mungu pia ni chanzo cha familia nyingi kuteseka..
Pastor wangu hapa anazingua.
Naona kabisa ayanda anapigwa gepu na mxolisi.. Nombuso anapelekwa beach sasa tunda linaliwa kiulainiiii pesa sio powa..
Ayanda kisa nombuso mpaka kaamua kurudi kuimba kanisani.. ππ na wamempiga chini ..
Sasa nawaza xulu mwenyewe kaamua kuendesha biashara legal tena yard scraper anaitoa, watamkamataje?
Kiukweli roho inaenda mbio mxolisi anaweza kumuingiza hasara mzee wake.
Mapesa mengii yaani dah
pastor anatumika na dhlomo pasipo kujijua ameanza kuwa snitch na mchomaji watu.. Sio pastor mwenye kuokoa watu.pastor nae anaboa tu angeachana na mambo hayo maana anapoelekea itakuja kumkost.
Kweli mda mwingine pesa inaongea nombuso kwa mxolisi kiulainiii
Ayanda nataka azidi kuonja joto la jiwe...asipokelewe kiurahisi
nimefurahishwa na maamuz ya xulu..natumainia furaha na mwanzo mpya katika familia yake.pastor anatumika na dhlomo pasipo kujijua ameanza kuwa snitch na mchomaji watu.. Sio pastor mwenye kuokoa watu.
Ayanda ana tamaa bora mxolisi amchukue nombuso kimoja ayanda anamuumiza nkule..
Xulu kaamua anyooshe maisha yake
hata mimi naona harufu ya utapeli hapa jamaa kakaa kiujanja ujanja tuila nina wasiwasi na huyu Richard kama sio tapeli basi kuna mahali atawaliza Mxolisi na Baba yake
ni motoooo!! sjui itakuaje kwa xulu au ndio mwanzo wa anguko lake....mkewe nae anapenda matambo sanaa...sio kwa gharama hizo kha!Wakuu mambo ni fayaa
Hili li Richard ni tapeli kama tulivyohisi..
Limewauzia mxolisi na baba yake eneo la serikali..!
Haya yote mxolisi ndio kayataka yaani halafu na mama xulu nae anamfirisi mumewe sasa, mambo ya ma party sijui manini..Mara French champagne.. Bado ayanda nae anataka udj..
Pastor nae hakomi tu sema nimependa pale mastermind alipomchana pastor ukweli, kwamba xulu ndio amemlea alimchukua alipokuwa hana kitu, hata yeye pastor hakumsaidia wala majirani..!
Kwa mara nyingine tena xulu watamfilisi jamani..
Na sbu amekamatwa na atarudishwa kwa mashuππππππΎππΎππΎ
Jagiya, Kool and the gang,
Pastor ni mnafki amekuwani motoooo!! sjui itakuaje kwa xulu au ndio mwanzo wa anguko lake....mkewe nae anapenda matambo sanaa...sio kwa gharama hizo kha!
mastermind kanikosha sana pia kwa yale majibu..nimependa maana pastor alikua mnafki tu.
Nombuso naona anamkubali sana mxo yaani pale kazimaa...π
kweli kabisa,ngoja tuone iyo party ya gharama kama itafanikiwaPastor ni mnafki amekuwa
Mama mxo anapenda vya gharama sana.
Kumbuka Kule church alivokuwa anajitapa