Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,221
- Thread starter
-
- #1,161
Safi naona ayanda anaenda kugeuzwa mwizi wa magari sasa.Ayanda kafukunzwa na maNzuza
Baada ya kuweka service memorial ya Nkos,mama anaamini mtoto yupo hai why wafanye vile,Mxo analetewa nguo mpya lkn anataka waongee kuhusu Ayanda but mama ake anajikausha
Ayanda sasa anaishi kanisani maNgoba amekuja na Ayanda kamwambia kama kafukuzwa na lindiwe kamwambia arudi home mlango upo wazi
Pamefika patamu sana.Kila mtu arudi kwao!Ayanda kafukunzwa na maNzuza
Baada ya kuweka service memorial ya Nkos,mama anaamini mtoto yupo hai why wafanye vile,Mxo analetewa nguo mpya lkn anataka waongee kuhusu Ayanda but mama ake anajikausha
Ayanda sasa anaishi kanisani maNgoba amekuja na Ayanda kamwambia kama kafukuzwa na lindiwe kamwambia arudi home mlango upo wazi
Pole Sana, DSTV hakuna local channels huko ...hizo ITV,startv, channel 5,clouds utazipata kwenye ving'amuzi vingine.Wanaotumia dish la DStv station ya ITV ni namba ngapi?Kwangu natumia startimes Sasa nimekutana na DStv!
Lakini Wasafi TV wapo mkuu?Pole Sana, DSTV hakuna local channels huko ...hizo ITV,startv, channel 5,clouds utazipata kwenye ving'amuzi vingine.
Acha nimuite tena Vera gingerWewe Vera husikii unaitwa huku@Vera ginger
Wewe mkuu uliangalia?Wewe Vera husikii unaitwa huku@Vera ginger
Hapana Itabidi Leo niende kwenye BAr yeyote ninunue hata soda au maji niwaambie waniwekee ITV ikifika saa Moja na nusu!Wewe mkuu uliangalia?
Hapana Itabidi Leo niende kwenye BAr yeyote ninunue hata soda au maji niwaambie waniwekee ITV ikifika saa Moja na nusu!
Hata Mimi nipo safarini mkuu[emoji23] nilikua nataka kufanya hivo last week nilikua safari
Hata Mimi nasubiria briefing hapaAny update!
safi sana nasubiri Jumamosi marudio yotee[emoji23]
Lindiwe nagaidi wake nimesahau jina wametoka out kujipongeza baada ya mafanikio ya kuiba gari kali 3
Gaidi amewatonya dogs wake wawe makini na mxo
Lindiwe alienda tena kwa Ayanda kuongea nae na kumwambia yupo kama baba ake na mkaidi kama yeye Ayanda akatabasamu,aliombwa kurudi home wamemuandalia chumba hata kama sio kurudi kbs,Ayanda karudi kwa Manzuza na kuulizwa kafata nini,akajiongelesha wee mwishowe akakumbatiwa na mlezi wake,naona atarudi