that really make sense 🤔.... but don't you see you will be pushing mondi away. .? with all this prosecutions of yours..? nana_Ya leo sio ndefu sana,
Mxo anazidi kumu ignore mrs xulu, yeye na ayanda ni paka na panya nyumbani kwao (familia mpya)
Nosi anaenda kuongea na mxo anaonekana kama kuwaonea huruma
Mdogo ake ayanda anatarajia kuondoka kuanza masomo yake ya chuo
Xulu anamtafuta mkewe waonane ila aende mwenyewe,,,,mkewe kaenda ile wanaongea tu polisi haoo. Ikaishia hapo
NB: Naona kama mondi katumwa hivi maana pale anaongea na dolmo kuhusu kutrak simu after kupata taarifa xulu katoroka then anasema anaona tu Nosi kawasiliana na mxo ila Mrs xulu hajapokea simu yoyote wakati alikua anachat na mumewe. Au they only track phone and not messages?
😅😅😅nimeipenda hii aidia..... naungana nawe 😁🙌yes naona Mondi ni Mabuza aliye changamka
Kwanza Dhlomo keshamstukia tayari, cheki alivyokuwa anamtolea jicho kiaina[emoji28][emoji28][emoji28]nimeipenda hii aidia..... naungana nawe [emoji16][emoji119]
Huyu mzee anamachale sana kwake hurukiKwanza Dhlomo keshamstukia tayari, cheki alivyokuwa anamtolea jicho kiaina
ayanda Nae inabidi nae aende kwa baba yake ..Ayanda anafurahia sana kuona baba yake anaishi maisha hayo, au hajui kuwa Mxo anaweza mtimua muda wowote
anaboa na kiburi chake hicho.. wakati anasitiriwa tuAyanda anafurahia sana kuona baba yake anaishi maisha hayo, au hajui kuwa Mxo anaweza mtimua muda wowote
Eti mabuza aliyechangamka[emoji23][emoji23]yes naona Mondi ni Mabuza aliye changamka
😅😅jamanii ila atuja thibitisha bado...Sijioni nae kabisa, mimi na majambazi hapana[emoji38]
Maskini mxo daah niliwaambia Mimi huyu dogo anaenda kupotea..
Nkosinathi sijui amekufa daah..
Mxo hana ujasiri wa kufanya maamuzi alikiri kuwa anataka kuanza maisha mapya sasa inakuaje anashindwa kusimamia maamuzi yake lile Maza limemshawishi mpaka kaingia mkenge mambo yameshakuwa mabaya,, siku zote unapotaka kuficha kosa utafanya kosa kubwa zaidi, Dah Nkosi ndio hvyo tena😥Maskini mxo daah niliwaambia Mimi huyu dogo anaenda kupotea..
Nkosinathi sijui amekufa daah..
Nae anapenda kupelelezaMaskini mxo daah niliwaambia Mimi huyu dogo anaenda kupotea..
Nkosinathi sijui amekufa daah..
Ndio hapo sasa tatizo lake kiherehere sana mara ya kwanza hakujifunza.Nae anapenda kupeleleza
Kipindi kile mpk akawekwa icu
Ni kweli simlaumu mxo sana wale watu wamemlea lazima awe na feeling kuhusu hali zao ukizingatia mangcobo anabembeleza sana,Mxo hana ujasiri wa kufanya maamuzi alikiri kuwa anataka kuanza maisha mapya sasa inakuaje anashindwa kusimamia maamuzi yake lile Maza limemshawishi mpaka kaingia mkenge mambo yameshakuwa mabaya,, siku zote unapotaka kuficha kosa utafanya kosa kubwa zaidi, Dah Nkosi ndio hvyo tena😥
Rest in peace nkosi kiherehere kimekuponza kwa Mara nyinginendio amekufa